TRA inaweza, sasa fikirieni lengo la Trilioni 3.5 ifikapo Dec 2021

Ni Kama kusema Wezi/makahaba/Majambazi wote utawakuta wanamba kwaya kanisani, Kama Nasari alivyokuwa Chadema pasipo usafi wa kudumu chamani.
Ndiyo maana mwisho wa siku aliamua kurudi kwenye familia yake aliyo izoea.

Maana ndege wa rangi moja huruka pamoja
 
Ndiyo maana mwisho wa siku aliamua kurudi kwenye familia yake aliyo izoea.

Maana ndege wa rangi moja huruka pamoja
Aliamua kuchagua fungu lenye at least miongozi ya objective principles na sio kuongozwa na maamuzi yenye mtizamo wa mtu mmoja. Taasisi yoyote ijikite kwenye mfumo na taratibu zake hata Kama ikiwa utaratibu ukifuatwa utamtoa njiani mkubwa Kama Mbowe chamani.

Angalia, ikiwa Utilitarianism itawaingia watanzania wakasema Magufuli aendelee baada ya mihula yake yote, basi Chama chake kinawajibu wa kusema siyo utaratinu wetu wa kikanuni (sio kama wanavyofanya chadema na uenyekiti wa Mbowe).

Chadema inaangamia kwa sababu ya kuhodhisha prospect ya chama kwa mtu mmoja.
 
Pamoja na kodi kuongezeka kwa wingi wa tozo lakini bado hatuna Mpango mkakati wa kuwainua wafanyabiashara wenye uwezo wa kibiashara kufikia kiwango cha kuwa mabilionea...
Nchi kama nigeria kumekuwa na mabilionea wengi sababu ya tax haven, yaani serikali ilikuwa inapata mapato ya kutosha na ziada kutoka kwenye sekta ya mafuta pekee, hivyo ilikuwa haina haja ya kukamua kodi kwenye sekta nyinginezo.

Kwetu sisi mapato kutoka kwenye madini, gesi asilia, bandari na utalii yanaweza kuendesha bajeti nzima ya serikali na kufanya miradi ya maendeleo na kupunguza presha ya kukusanya kodi kwa wafanyabiashara na wananchi na ni katika mazingira kama hayo unaweza kutengeneza mabilionea wa kutosha.
 
Mh. Rais kayabana mafisadi yaliyo jitengenezea mirija ya kupiga pesa sasa pesa inaingia serikalini safi sana rais wangu siijutii kura yangu kabisa.
Makusanyo hata ya halmashauri yamepelekwa TRA, Hivyo figure iko juu kwa sababu hiyo, na ukifuatilia vizuri utakuta hata hiyo figure ni ya kupika.
 
Hakuna muujiza wowote ule. Kilichofanyika sasaivi ni hela zote za serikali zinakusanywa na TRA. Kama hadi mamlaka za Ngorongoro na Tanapa na uhamiaji zimenyang’anywa kukusanya mapato ya utalii na imepelekewa TRA hizo figures wala hazishangazi. Tena utalii ukirudi kwenye hali yake tutakuja kutangaziwa imefikia hata trillion 4 na washamba wakashangaa kumbe hizo hela zilikuwepo tangu zamani.
Hata yale makusanyo yaliyokuwa yanaenda kwenye Halmashauri za wilaya, miji na majiji yote sasa hivi hesabu yake inawekwa TRA. Mfano kodi za majengo, mabango hadi leseni.

Kiuhalisia ukichunguza kwa undani makusanyo ya TRA yameshuka Ila namba inaokolewa na vyanzo ambavyo awali havikuwa vyao
 
Wanaweza kukusanya ata trilioni zote duniani, wajenge msingi kwa wafanya biashara kuweza kufanya kazi zao vizuri na kwa amani. Mazingira ya biashara yaboreshwe, maisha ya wananchi yaboreshwe, vyenginevyo watakusanya izo trilioni kwa kumkandamiza mwananchi huku taifa likiendelea kuwa maskini hata kama pesa zote zikiwa zimekusanywa na TRA.
 
Aliamua kuchagua fungu lenye at least miongozi ya objective principles na sio kuongozwa na maamuzi yenye mtizamo wa mtu mmoja. Taasisi yoyote ijikite kwenye mfumo na taratibu zake hata Kama ikiwa utaratibu ukifuatwa utamtoa njiani mkubwa Kama Mbowe chamani.

Angalia, ikiwa Utilitarianism itawaingia watanzania wakasema Magufuli aendelee baada ya mihula yake yote, basi Chama chake kinawajibu wa kusema siyo utaratinu wetu wa kikanuni (sio kama wanavyofanya chadema na uenyekiti wa Mbowe).

Chadema inaangamia kwa sababu ya kuhodhisha prospect ya chama kwa mtu mmoja.
Akili zako ni mbovu kama daladala za Arusha to Mromboo
 
Akili zako ni mbovu kama daladala za Arusha to Mromboo
Hata M/kiti chadema, anaendelea kuamini mawazo ya wengine ikiwemo wale 19 kuwa mabovu kama daladala za Arusha, ( Arusha wanaweza isogeza gari mbele kimuda kwa ufundi). Have a note on that!
 
Walisema Ukiona umependwa jua Kuna Mwenzio katendwa..
Likewise, Ukiona TRA wamefikia 101% ya ukusanyaji wa mapato Basi jua Kuna walipa Kodi wameumia(Wafanya biashara).

Hongera TRA.
Polen Sana ndugu zangu Wafanya biashara.
True.
 
Wanaweza kukusanya ata trilioni zote duniani, wajenge msingi kwa wafanya biashara kuweza kufanya kazi zao vizuri na kwa amani. Mazingira ya biashara yaboreshwe, maisha ya wananchi yaboreshwe, vyenginevyo watakusanya izo trilioni kwa kumkandamiza mwananchi huku taifa likiendelea kuwa maskini hata kama pesa zote zikiwa zimekusanywa na TRA.
Haya ni maendeleo yasiyoakisi uhalisia.
 
Hii trilkion 2.088 ni kwa sababu ya imports na salws za Christmas na new year.

Kila mwaka mwezi kama huu na miezi ya ramadhani na Eid Al Adha, kodi ni nyingi.
 
Hata yale makusanyo yaliyokuwa yanaenda kwenye Halmashauri za wilaya, miji na majiji yote sasa hivi hesabu yake inawekwa TRA. Mfano kodi za majengo, mabango hadi leseni.

Kiuhalisia ukichunguza kwa undani makusanyo ya TRA yameshuka Ila namba inaokolewa na vyanzo ambavyo awali havikuwa vyao
Kweli kabisa! Kwa sasaivi almost hela zote za serikali zinakusanywa kupitia TRA. Mamlaka na taasisi za serikali ambazo huko awali zilikuwa zinakusanya mapato ya serikali karibu zote zimenyang’anywa hayo mamlaka na fedha zinaenda TRA.

Tatizo la wabongo huwa hawafuatilii sheria zinazopitishwa na bunge na mijadala ya bungeni ndo mana ni rahisi sana kudanganywa. Hizi taarifa za makusanyo ya TRA sio muujiza wowote ule kwa sababu hizo hela zilikuwepo tangu huko mwanzoni sema zilikuwa zinaingia serikalini kupitia taasisi nyingine.

Tena utalii ukirudi rasmi kwenye hali yake lazima kuna siku tutatangaziwa kuwa TRA wamefikisha trillion 4 au 5
 
Ili tuelewane vizuri, serikali iweke wazi mapato hayo ya December ikionyesha fedha zilizopatikana kutokea vyanzo vile vingine ambavyo havikuwa TRA zamani ili kuona hizo sifa ziendazo TRA zinawastahili kwa kiasi gani?
Maana waweza kukuta hakuna kitu TRA zaidi ya fedheha
 
Back
Top Bottom