Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,453
- 4,933
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,
Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD
MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??
Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato
NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.