TRA imeshindikana vyombo vya usafiri kutumia EFD kuna mapato mengi sana yanapotea huku

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.
 
Mods naomba mnirekebishie kichwa cha habari hapo ni imeshindikana sio imeshingikana,
 
Ni wazo zuri,japo usafilishaji umejaa kodi kibao hasa zilizo kwenye mafuta.
Wazo langu kama ingewezekana ile road license ipunguzwe ibaki 20 harafu hivi vimashine vya efd vigawiwe kwa vyombo vya usafirishaji.
Kila gari inapotoka geti la stand ukaguzi ufanyike
 
  • We mwanamke umeniwahi kupost hii thread, nilikuwa na wazo hili baada ya kusoma thread yako ya wizi wa nauli
  • Naona tunafana sana mawazo
 
Naunga mkono hoja kwa maana kwamba ile ya kulipia leseni ya gari kutembea barabarani itabaki labda hapo kwenye kupunguza ila hii niliyo isema mimi ni kwa vyombo vya usafirishaji tu maana kama leseni ya barabara tunayo lipia kupitia mafuta tunalipa wote hata sisi wenye vigari vya kutembelea ambavyo si vya biashara

Maana ikiwa hata mwenye duka analipa 18% ya kila bidhaa na wakati huo ana lipa kodi ya frame na mengineyo, hawa wa usafirishaji wanatakiwa kulipa kodi kwa kila kichwa kinacho ingia katika gari na kizuri hasa kwa mabasi ni rahisi kufanya ufuatiliaji kama hawa wamiliki wanatekeleza hilo kwa kukagua tiketi za abiria wakishirikiana na trafiki wa usalama barabarani.

hii ni sawa na mwenye nyumba kulipa fedha ya erdhi kwa serikali na pia kulipa kodi ya jengo wakati huo wakitafuta namna ya kukata 18% kwa kila mpangaji ndani ya nyumba aisee!!
Nadhan nchi yetu inauwezo kwa kutumia rasilimali watu pekee ikakusanya kodi kubwa sana ni basi tu hakuna mifumo mizur iliyo andaliwa katika swala la ukisanyaji kodi ,kuna mapato mengi sana yanapotea katika nchi yetu,
 
  • We mwanamke umeniwahi kupost hii thread, nilikuwa na wazo hili baada ya kusoma thread yako ya wizi wa nauli
  • Naona tunafana sana mawazo
Hakuna shida toa tu mawazo yako ,lengo ni moja kuongeza mapato katika nchi yetu sote na kuokoa mianya ya mapato yanayo potea kwa wingi sana.
 
Naunga mkono hoja
Asante mkuu maana hata sisi wenye shule ya hapa na pale tunaweza kuisaidia serikali kimawazo kama itahitaji tukiachana na hao ma Dr. Na ma prof wa mh rais ambao naona wapo wapo tu hawana mawazo mapya ya kumsaidia mh. Rais zaid ya kutukuza elimu zao za kwenye makaratasi ingali kichwani hakuna kitu.

Sorry!! Ma prof na ma Dr.
 
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.
Safii,naona somo la kodi sasa limetuingia vizuri sana watanzania,mwanzoni hatukuwa tunajua faida ya kodi ni nini,tuliona kama vile serikali inatumia ubabe flani hivi kuchukua pesa za watu bila ya ridhaa zao mf.wafanyabiashara walipo fanya mgomo pale EFD machine zilipoamriwa zitumike n.k.,lakini sasa watu tumekuwa waelewa na kuona umuhimu wake,weldone serikali ya awamu ya tano,endeleeni kutunyoosha,tutanyooka tu mpaka tufikie mahali tunatajana kuwa flani halipa kodi....
 
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.
Mfano mwingine huu apa wa Dar to Moro
Na tutumie Mabasi ya Abood kama case study
Dar to Moro nauli ni 7000
Chukua hiyo 7000 mara abiria 60 tu!, utapata 420,000
Na kwa siku Basi moja linapiga 'average' ya ruti 2,
Chukua sasa ile 420,000 mara ruti 2 utagundua basi moja kwa siku moja linapata si chini ya 840,000
Je kwa mwezi, kwa mwaka basi hili linapiga mahela kiasi gani?
Je Abood mabasi yake yote kwa mwezi au kwa mwaka yana muingizia mapene kiasi gani? Na kodi ya serikari analipa kiasi gani?

Najiuliza tu kwa ujinga wangu​
 
  • Kwa kweli serikari ihakikishe mtu anapopewa tiketi apewe na risiti ya EFD
  • Na kuwe kuna ukaguzi wa mara kwa mara unao husu utekelezaji wa agizo hilo
 
Kweli kabisa,nakumbuka nilikwisha ushauri hili wazo @"TRA na Wizara ya Fedha: Mkitaka mapato mengi,rudisheni ule utaratibu wa zamani wa Rais Mkapa".
Asante mkuu maana hata sisi wenye shule ya hapa na pale tunaweza kuisaidia serikali kimawazo kama itahitaji tukiachana na hao ma Dr. Na ma prof wa mh rais ambao naona wapo wapo tu hawana mawazo mapya ya kumsaidia mh. Rais zaid ya kutukuza elimu zao za kwenye makaratasi ingali kichwani hakuna kitu.

Sorry!! Ma prof na ma Dr.
 
Kwani hiyo kodi watalipa wenye magari, tutalipa sisi wasafiri na maisha yatazidi kuwa magumu, points zina logic lkn the incidence of tax will fall on final consumers
ASANTE..WEWE NI MUELEWA..WENGINE NI USHABIKI TU...MFANYABIASHARA HUWEZI KUMKOMOA...END USERS NDIO WATABEBA TAX BURDEN..MFANYABIASHARA AKIAMUA FAIDA YAKE IWE KIASI FULANI YEYE ANAONGEZA KALE KAKODI KA 18% UNAKALIPA WEWE...SASA NDIO HAPO RAIA MTAKAPOITOLEA MACHO SUMATRA NA TRA TENA.
 
Tatizo la mtu kuamka na njaa
Hivi hizo kodi mnazotaka zikusanywe hadi sasa zimewasaidia nini maana kila siku mnakopa nje

Hujui ya kuwa VAT hutozwa kwa mlaji na ongezeko la VAT maana yake Mlaji ndio anaumia?
Hivi kwanini murundike kodi kila siku kwa wananchi wakati Tanzania ina vivutio vingi vya utalii?
Kwanini muongeze kodi wakati Madini yapo?

Akili za ccm sijui zikoje wao kila siku wanawaza kuongeza kodi tu...
nchi zingine wanapunguza mikodi hapa ndio kwanza inaongezwa kila siku

KWa taarifa yako hiyo kodi ikiwekwa sisi ndio twaumia
 
Wakaweka VAT kwenye gharama za benki afu baadae wakaja kujichanganya
wengine wakasema watakao lipa ni benki.....
Banki Kuu ndio ikasema walipaji ni sisi watumia huduma

Muwe mnasoma kwanza hata maana ya VAT ndio mje hapa kutuambia kuhusu hizo VAT zenu
 
Watapiga pesa sana!, hata mm huwa inaniuma sana pale ninapogundua nmelipa nauli ambayo sio halali alafu hata serikali hawachukui kodi yao...inaniuma sana pale ninapogundua nauli niliyolipa sio halali. Hizi mashine wangeziweka tafadhali ili tuwasaidie makusanyo....kuna mtindo mwngne wanakuandikia risiti ya pesa ambayo hujalipa..yaani umelipa pesa ndefu Ila kwenye risiti unaandikiwa pesa ndogo
 
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.

Nauliza kwenye mabasi hazikatiwi VAT.
 
Mtoa mada umesomeka. Tatizo kubwa katika taasisi zetu, nikuwa na mambumbu wengi wasio taka kuumiza vichwa kufikiria namna bora ya kukusanya mapato mengi ya serikali kwa kubuni njia bora isiyoweza kumuumiza mlipa kodi. Wazo lako zuri, kwa maana unajaribu kuwafungua macho labda siku moja wataamka toka wimbi la ufinyu wa mawazo na maamuzi yao.
 
Back
Top Bottom