TRA imeshindikana vyombo vya usafiri kutumia EFD kuna mapato mengi sana yanapotea huku

Wakaweka VAT kwenye gharama za benki afu baadae wakaja kujichanganya
wengine wakasema watakao lipa ni benki.....
Banki Kuu ndio ikasema walipaji ni sisi watumia huduma

Muwe mnasoma kwanza hata maana ya VAT ndio mje hapa kutuambia kuhusu hizo VAT zenu
Kweli mkuu, anayeumia ni sisi watumiaji kabisa yaani, ukipandisha kodi automatically na bei ya bidhaa/huduma husika hupaa
Tatizo la mtu kuamka na njaa
Hivi hizo kodi mnazotaka zikusanywe hadi sasa zimewasaidia nini maana kila siku mnakopa nje

Hujui ya kuwa VAT hutozwa kwa mlaji na ongezeko la VAT maana yake Mlaji ndio anaumia?
Hivi kwanini murundike kodi kila siku kwa wananchi wakati Tanzania ina vivutio vingi vya utalii?
Kwanini muongeze kodi wakati Madini yapo?

Akili za ccm sijui zikoje wao kila siku wanawaza kuongeza kodi tu...
nchi zingine wanapunguza mikodi hapa ndio kwanza inaongezwa kila siku

KWa taarifa yako hiyo kodi ikiwekwa sisi ndio twaumia
 
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.
Hakuna VAT kwenye usafirishaji wa abiria mkuu bali kwenye mizigo.... Maana usafiri ni huduma muhimu kwa jamii so huwez chaji VAT
 
Nunua ya kwako ndio waanze kutumia efd humo....
Kuagiza tu magari yenyewe huko nje kodi wanayo chukua ni kubwa mno bado huduma mbaya utakuta mara radio hakuna mara site mirror sasa wachukue kodi kwenye nauli barabara mbovu, rushwa kibao, stend za hovyo hovyo kwenda kuchukua kibali cha kubadilisha route unazungushwa, kodi za ajabu kwenye mafuta dooh...

Nunua ya kwako tuone kama utaleta Hilo wazo
 
Wakati China na nchi kama Qatar mabilionea wanaongezeka, hapa nchini njuka moja inatema pumba tu. Yani hujafikiria kuhusu vyanzo vingine vya mapato kama utalii, migodi ni usanii tu mara makinikia, yani kero tu kila siku mambo mapya na hatuoni muafaka mujarabu zaidi ya KIKI tu. Toka kwenu kwanza ukajitegemee upate akili.
 
Ndio maana nikasema mifumo iboreshwe kila EFD isomwe na mfumo mmoja wa serikali na taarifa zinakuwa saved kwenye system si unaona NMB sasa hivi wana mashine zao hao vijijini huko ambazo zime link na system mkuu? Maana wameacha kufanya kazi pna maxmalipo baadhi ya maeneo ndio inakuwa hivyo, kila ticket inayo toka kupiti mashine inatuma taarifa moja kwa moja 18% ya serikali.
bado wajanja wanapiga hela kwa EFD, niliwahi kununua bidhaa nikapewa EFD receipt, nilipofika home home nilishangaa kuona fedha iliyoandkwa kwenye receipt ni kubwa kuliko fedha niliyolipa: maana yake ni kuwa traders wanaover receipt ili kupata marejesho makubwa ya VAT kutoka TRA, ni utajiri wa kirahisi
 
Inawezekana we we sio mtanzania,maana mtanzania anakamuliwa kila kona ya maisha yake maana hiyo kodi itakuwa kwa mtanzania wa kawaida wala mwenye basi hataumia chochote,MTU na uvivu wako wa kufikiri unaleta MAWAZO ya kinyonyaji ,maendeleo yanakuja kwa kutimiza wajibu,wa watu kufanya kazi,na sio kubuni mission za kuwaibia watu kwa kisingizio cha kodi,wakati mpaka sasa kodi kwa mtanzania ni nyingi na hapumui
 
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.
kabla ya kuingiza huo mfumo hebu kwanza iajribu kuweka mfumo mzuri ambao utawawezesha hata hao wamiliki waweze kupata return yao kwa muda.
haya mataasisi ya serikali ndo yanayoikosesha mapato serikali kwa kutoangalia longrun returns badala yake wako busy kuangalia tunawaumizaje wamiliki ambao hatuko na uwezo wa kuwafikia. ndo maana ukiangalia asilimia kubwa ya makampuni yana uhusiano na viongozi wetu. mfano mdogo tu rungwe express. mwenyekiti wa ccm mkoa wa mbeya.
abood mnajua na wengine wengi tu. ukiona kampuni imevuma sana angalia mmiliki yukoje, na ndo maana kuna masheria kibao tu ambayo kiukweli yanawaumiza wale ambao hawama access ya juu.
mfano wa sheria hizo ni kwenye upande wa uzito wa basi. mabasi ambayo kiukweli ni the most luxurious ni yale yenye rear engine duniani pote na yana dumu sana. lakini kwetu kutokana na kiwango cha mwisho cha maximum 18tonne kwa axel nani ataleta marcoporolo paradiso double decker, ambalo uzito wake unafika karibia 27tonne. wengine huwa wanasingizia ubovu wa barabara anyway zetu na za zambia zipi nzuri na kabla ya haya masheria wada wachovu toka zambia ilipiga ruti sana hapa kwetu.
kingine ambacho kabla serikali ingeangalia ni ile upangaji wa nauli, ukitaka biashara yako ikuwe ni pale unapoachia soko lijiendeshe. mfano ukipanga kila nauli ikatwe 18% then kuna kipindi nauli huwa inashuka kupita hata kile kiwango mlichopanga. mfano nsasa hivi kwenda mbeya unaweza pata mpaka ticket ya 25000 ukienda asubuhi sababu wateja hamna sasa ukiachia kipindi cha mavuno kukiwa na free market nauli ikipanda mpaka letsay 80000 ukipiga 18% ya nauli si unakuwa umepata faida kubwa sana na kwa upande mwingine mmiliki anapata return yake ya uwekezaji.
kwa ujumla serikali inapoyeza mapato mengi sana kupitia hii sekta na wameidharau pasipokujua kwamba ukiisimamimia vizur ni rahis sana kupata kodi nyingi sana.
lakini hii ili tuione faida lazima tubadilishe sheria nyingi sana ili kuweza kuvutia waingiaji nchini. ukienda zambia na kenya na ukaangalia rate ya wageni wanaotoka zambia,drc kwenda south africa ukaja kenya ukiangalia wageni wanaotoka rwanda,drc,uganda kwenda kununua mizigo kenya utalia. imagine kuwe kuna mabasi kama 100 yanayoingia nchini kutoka nje na abiria kama 5o each. hapa unawageni karibia 5000 kwa siku, tukisema basi kila mgeni achangie 3000 kama vat kwenye basi. tunapata almost 15mil kwa mabasi 100 na wageni ambao watakuja nunua bia, kitimoto, chakula, gest na mahitaji yote hayo ukipiga kuwa atachangia 10000 kwa siku nje ya usafiri kama vat, tunapata 50mil per day kwa mabasi mia tu.
ukienda mbele sasa ukasema tufanye kama wazambia kutembea masaa 24 na ruhusa ya kubeba tailer la ton 10 ya mzigo na kila kilo ikachangia 500 kama vat kwa basi moja utapata 5mil na kwa mabasi 100 utapata 500mil kwa siku moja tu.
sasa total kwa siku kwa mabasi 100 unapata 565mil kama vat tu ambayo kwa mwezi unapata 16.95bil kwa mabasi mia tu yatayokuwa yanatoka nchi za wenzetu kuja kununua mizigo kwetu.
NB; hizi ni fikra zangu maoni yawataalam yanahitajika
 
Hii
Naamin kama serikali ikitoa maamuzi kwamba vyombo vyote vya usafiri vitumie risiti za EFD hasa vya mikoani vya majini na nchi kavu, yaani mabasi makubwa kwa madogo haya ya route fupi za ndani ya mkoa boat zote na meli kubwa na ndogo , na ikiwezekana hadi daladala na bodaboda hakika ingawa kwa hawa unahitajika usimamizi wa hali ya juu sana basi serikali ingepata mapato mengi sana mara zaid ya hiki inacho kipata kwa sasa,

Mfano: badala ya serikali kuchukua kodi ya makadirio kwa mapato ya basi ingekata hiyo 18% kwenye nauli moja kwa moja kupiti risiti ya EFD

MF. nauli kutoka dar arusha tsh 25000/ ukikata 18% maana yake serikali inachukua 4500 na basi mfano limebeba abiria 60 tuchukulie kuwa wote wanafika mwisho wa nauli hiyo maana yake serikali inakusanya 270,000/=kwa safari moja ya basi na tukisie basi lina safiri siku 6 za wiki maana yake kwa wiki itakuwa ni 1,620,000/=mil. na kwa wiki nne ambao ndio mwezi itakuwa ni 6,480,000/=mil. kwa basi moja tu kwa mwezi ambalo kwa mwa sasa itakuwa 77,760,000/= mil je? Mabasi yanalipa kodi hiyo kwa mwaka?! Kupiti huu ukatishaji tiketi wa kienyeji na ulipaji kodi kienyeji??

Hebu serikali yangu ijaribu kutupia jicho huku aisee kuna mapato mengi sana huku nako pia nadhani serikali inabidi iweke oda kubwa sana ya mashine za EFD ili hawa wamiliki wa mabasi waanze kutumia naamin pesa ambayo serikali itakuwa iliwekeza katika kuagiza EFDs machine itarudi ndani ya mda mfupi sana kutoka kana na ukusanyaji huo wa mapato

NB: naomba niweke kumbu kumbu sawa makadiria hayo nimepiga bila kujali hali ya abiria ambayo huwa ni ya msimu maana si rahisi basi likajaza kila siku na abiria wote wawe ni wa moja kwa moja mwanzo hadi mwisho wa safari hivyo makadiri hayo ni kuonyesha taswira tuu yanaweza yasiwe halisi sana kutokana na hali ya uwepo wa abiria.

Hii ikifanyika itaongeza mapato sana kwa Serikali maana nia kubwa ni kukusanya kodi na kuondoa utegemezi wa wahisani
 
Siungi mkono hoja hii sababu tairi tu ya gari inakodi tayari yani kila kitu kodi itabidi nauli iongezeke tatizo watu hawajui gharama za uendeshaji bado Sumatra nao umeangalia kwa upeo mdogo sana
 
Inawezekana we we sio mtanzania,maana mtanzania anakamuliwa kila kona ya maisha yake maana hiyo kodi itakuwa kwa mtanzania wa kawaida wala mwenye basi hataumia chochote,MTU na uvivu wako wa kufikiri unaleta MAWAZO ya kinyonyaji ,maendeleo yanakuja kwa kutimiza wajibu,wa watu kufanya kazi,na sio kubuni mission za kuwaibia watu kwa kisingizio cha kodi,wakati mpaka sasa kodi kwa mtanzania ni nyingi na hapumui
wanaosababisha watanzania waumie sio wamiliki bali ni serikali yenyewe. kuna kitu kimoja kwenye uchumi kinaitwa law of demand and supply. yaani sheria ya uhitaji na usambazaji. pale kunapokuwa na uhitaji mkubwa bei inapanda sana, hii inapelekea kuwavuta watu wengi kujihusisha na hiyo biashara ambayo mwisho wa siku kunakuwa na overproduction hivyo kupelekea bei kushuka ili kupata wateja. sasa serikali yako badala ya kuachia njia nauli iujipange iendelee kupata kodi kubwa imepanga bei ambayo kiujumla haiwavutii wawekezaji, zaid ya hapo kale karatiba ka kutembea usiku wamekafuta ambako ndo kalikuwa kanafidia. hapa hata ufanyeje bei haiwezi shuka na nauli bado mtakamuliwa tu. ntakupa mfano mdogo ukitembelea nchi za wenzetu na uhakika wa wateja shirika la easyjet last time nimecheck walikuwa na starting price ya mpaka 12usd kwa safari ya saa moja. sasa hawalipa kodi ya kufa mtu na hakuna kukwepa.
ukija kwetu wakati wewe unaangalia nauli na uchungu wako tu, huku ukilipa income tax ya kama kumi naaa, mwenzio analipa corporate tax ya 30%
 
Hii kitu nimeikuta Rwanda ni nzuri mno,na si kuongeza mapato tu bali hata kuondoa wizi unaofanywa na mawakala wa mabasi kwa sababu kwenye hizo risiti za EFD zitaandikwa bei zilizotolewa na SUMATRA na si vinginevyo,hawa mawakala wanatoza abiria nauli wanazozitaka wao na polisi wapo kama vile na wao wanamgao wao.
Mkuu umeona mbali!
 
Mkuu umeona mbali!
Kuna baadhi ya watu naona wanalipinga hili labda ni wanufaikaji na huu mfumo.Hii kitu inatumika nchi nyingine kama Rwanda.Je? Ina maana wamiliki wa kule wanapata hasara kwa kutumia mfumo huu?

49c43d7309a438f4dfbc7820afb7f36b.jpg
 
ASANTE..WEWE NI MUELEWA..WENGINE NI USHABIKI TU...MFANYABIASHARA HUWEZI KUMKOMOA...END USERS NDIO WATABEBA TAX BURDEN..MFANYABIASHARA AKIAMUA FAIDA YAKE IWE KIASI FULANI YEYE ANAONGEZA KALE KAKODI KA 18% UNAKALIPA WEWE...SASA NDIO HAPO RAIA MTAKAPOITOLEA MACHO SUMATRA NA TRA TENA.
Mbona kwenye airtime hawajaongeza? Nanunua vocha ya jero, wao(cell company) wanakatwa 18% na mimi najiunga kifurushi changu kwa hiyo jero.

It's possible kama tu serikali itasimamia hili vizuri.
 
Kuna baadhi ya watu naona wanalipinga hili labda ni wanufaikaji na huu mfumo.Hii kitu inatumika nchi nyingine kama Rwanda.Je? Ina maana wamiliki wa kule wanapata hasara kwa kutumia mfumo huu?
Mkuu, wasimizi wetu katika ukusanyaji wa mapato ya serikali ndo wapingaji wakubwa wa mifumo yote ya kiteknologia ambayo inaleta uwazi katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo na kodi. Ukweli ni kwamba, wanapinga kwa sababu mifumo mibovu na isiyokuwa na uwazi ndo inawapatia mianya mingi wao kunufaika. Hivyo lazima wapinge kile wanachoona kitawanyima ulaji.

49c43d7309a438f4dfbc7820afb7f36b.jpg
 
Back
Top Bottom