Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,599
- 217,991
Niliona ile nikashangaa sana ! Mpango anataka kulazimisha makusanyo !Mkuu hukumuona juzi yule mpango akimwaga povu zito kuhusu kupungua kwa makusanyo ya kodi?
Niliona ile nikashangaa sana ! Mpango anataka kulazimisha makusanyo !Mkuu hukumuona juzi yule mpango akimwaga povu zito kuhusu kupungua kwa makusanyo ya kodi?
Nilimuona lakini sikumwelewa. Kwani kodi ya Tanzania nzima inakusanyiwa Bandarini? Yaani kuwa Profesa tanzania ni kuwa hujui kitu hata kama kinahusu fani yako?
Niliona ile nikashangaa sana ! Mpango anataka kulazimisha makusanyo !
Sura yake ilionyesha waziwazi kwamba hali ni mbaya sana .Ni mkurupukaji mwingine huyu! Badala ya kukaa na management ya TPA kujua nini ni chanzo cha mapato kushuka kaja na ideas zake ambazo hazina ushahidi wowote ule. Kama biashara zimedoda nchini Watanzania hawaagizi bidhaa toka nje kama ilivyokuwa kabla lakini yeye hataki kulikubali hili.
Kilichoulizwa YANATANGAZWA?SIO IMEKUSANYWA KIAS GANI?Ndugu zangu mbona mu wepesi wa kujisahaulisha hivyoo,si nyie mwaka mmoja uliopita mlisema haya mapato yatarudi kulekule kwenye bil.900+ kama enzi za JK??
Labda tuwaulize kwanza yameshuka chini ya tri.tangu JPM aingie madarakani??
Kumbuka Mawaziri wapumbavu Mkuu. Huyu bila shaka ni mmoja wao.
Jakaya sijui atakuwa amejisikiaje kwa ile kauli. Jamaa kila kitu anamsingizia JakayaKama magufuli jana anadai akati anaingia madarakani sukari ilikuwa 5000 sasa hivi imeshuka wakati ukweli tunaujua...what do u expect kwenye takwimu za t.r.a c wanaweza kukwambia wamekusanya trilioni 50 ndani ya mwezi mmoja
Acha umburulaz wa Lumumba weKilichoulizwa YANATANGAZWA?SIO IMEKUSANYWA KIAS GANI?
Wewe ukafurahiii.Mkuu hukumuona juzi yule mpango akimwaga povu zito kuhusu kupungua kwa makusanyo ya kodi?
Alivokuwa waziri alifanya maamuzi ya haraka kwenye meli ya samaki na kivuko cha Bagamoyo
Wewe ukafurahiii.
Zilikuws janja za welcome first yearMimi kama mlipa kodi (Hata kama ni mdogo) nilifurahi sana mwanzo mwa utawala huu wa awamu ya Tano TRA walipokuja na aina ya uwazi katika kutoa ripoti ya makusanyo ya Kodi kwa mwezi. Na nilifurahi zaidi pale walipovunja rekodi na kufikia kukusanya kodi hadi kufikia Trilioni Moja na pointi tatu.
Nina imani sasa inawezekana wamefikia labda kukusanya trilioni moja na pointi saba kwa mwezi kwa jinsi ukuaji uchumi ulivyo. Ni vizuri kama TRA wakiendelea na mtindo wao ule wa kuita waandishi wa habari na kuwapa ripoti ya makusanyo ya kodi kwa mwezi kama walivyokuwa wanafanya hapo awali!