TRA ilivyofifisha ndoto zangu, kujiajiri Tanzania ni zigo la misumari

Hizi ndio hatari zenyewe,serikali inahamasisha kukuwa kwa private sector lakini kwa maneno,kivitendo hawataki hata kidogo. Ukichechemea mpaka uchomoze wanakupokea na vita ambayo lazima ushindwe.

Serikali inatakiwa iangalie watu binafsi wanaojitahidi kufanya ujasiriamali, wakiinuka iwaheshimu, wakae mezani kukiwa na changamoto. Akifa mjasiriamali mmoja watu wengi wanakosa ajira.
 
Mwaka 2008 nilipata ajira ya kibarua Cha muda mfupi (miezi 3) katika moja ya taasisi za kimataifa.

Baada ya kumaliza mkataba wa kibarua changu nilipata pesa kidogo ambayo nilijishauri kujiajiri na kuajiri vijana wenzangu kwasababu ya tatizo la uhaba wa ajira ili kuipunguzia mzigo Serikali ilionao katika sekta ya ajira.

Kipaumbele Cha kwanza ilikuwa ni kufanya uvunaji wa miti nilichukua jukumu la kwenda Katika msitu wa Londo Forest uliopo Lindi vijijini.

Nilifika Londo nikafanikiwa kupata kibali Cha uvunaji na kuanza uvunaji wa magogo ili kuchana mbao.

Kwa bahati mbaya baada ya siku Sitini na Saba msitu ulifungwa kwa sababu uvunaji (magogo) miti wa hovyo hali hii ilitishia uhai wa msitu wa Londo.

Kwa muda wa miezi miwili nilishapata faida ya million kumi na moja (11,000,000) na mtaji wangu ilikuwa ni million sita kwenye akaunti yangu tayari nilikuwa Nina million kumi na Saba (17,000,000).

Nilishawishika kwenda Katika msitu wa Sao hill uliopo mafinga Mkoani Iringa ili kufanya uvunaji wa magogo na kuchana mbao.

Mwezi wa kumi na moja nilifika Sao hill nikiwa na timu ya vijana 20 wafanya kazi wangu.

Nilinunua vibari kwa wavunaji wadogo wasio na uwezo wa kuvuna na nikaanza kazi ya uvunaji.

Nilipanua wigo wa biashara na Kuajiri (mikataba mifupi) vijana wengi Katika sehemu mbalimbali nilizofanya uvunaji Katika maeneo ya msitu wa Saohill.

BAHATI MBAYA
Kwa bahati mbaya mwezi wa 10, 2009 ulizuka Moto Katika msitu wa Mwitikilwa uliochoma mbao 15,400 na mashine (9) na magari yangu ya kubeba magogo (4) na kuchoma magogo mita za ujazo 1350m³.

Wavunaji wengi tulipata hasara na hatukupata fidia nakumbuka Mkurugenzi wa Maliasili Mistu na Nyuki Dr. Felician Kilahama alituambia wavunaji wa Saohill (kupitia chama Cha wavunaji wakati huo SAFIA) Kuwa Serikali imepoteza karibu hekta 40,000 nayo imepata hasara Haina msaada wowote kwa hiyo tusidai fidia yeyote, alikataa kutuongezea hata mgao na hivyo binafsi nilikuwa na madeni mengi sikuwa na chaguo niliuza magari niliyobakisha na kuuza rasilimali nyingine ili kulipa madeni na kuwalipa wafanyakazi stahiki zao ili warudi makwao maana wengi wa Wafanyakazi wangu niliwaagiza kutoka Msitu wa Buhindi Sengerema Mkoani Mwanza.

2010-2011 nilirudi Chuo kumalizia elimu yangu.

2012 Nilifungua kampuni ya Usambazaji vifaa vya Ujenzi, Stationery, Ushauri wa Kitaalamu wa Ujenzi, Usanifu Majengo na Ukandarasi wa barabara na Majengo.

Nilifanikiwa kupata miradi mingi ya barabara na Usambazaji vifaa Katika mikoa ya kusini Lindi na wilaya zake, Mtwara na wilaya zake ikiwemo mkoa wa Pwani na Dsm, Singida,Tabora na Kagera.

Mpaka mwaka 2014 Oktoba nilikuwa nadai 779,650,543.45 madeni kwenye taasisi mbalimbali.
2015 Nilifirisika na kufirisiwa na wadai wanaonidai kwa mara nyingine Wafanyakazi zaidi ya 15 wakapoteza ajira zao.
2016 nili fungua shauri la madai ambayo ni gharama kubwa lakini niliishia kupata vitisho.
2017 niliumwa Sana Pressure na kukaribia kufa nilikata tamaa.
2018 niliamua kurudi barabarani nilipata miradi na kuanza kufanya kwa kusuasua hataye hali ikaanza kuwa nzuri.
2019 TRA walizuia hela Katika akaunti shilingi 35,860,000 kwa kisingizio Cha madeni ambayo hata sifahamu.
2019 TRA walizuia 28,167,790.23 kwa kisingizio Cha madeni
2020 TRA walizuia kiasi Cha 8,987,000
2021 TRA walizuia 10,000,000

Mpaka Sasa wamefunga akaunti zangu kwa kisingizio Cha madeni.

Nchi yetu Kama hauna ndugu kwenye system hauwezi kutoboa ni ngumu Sana.
Nina mengi moyoni Ila Sina budi kushukuru Mwenyezi Mungu huenda ndio mapito yangu.
Mkuu Pole sana ila nakushauri tu wakati mwingine zingatia kukatia BIMA biashara yako...leo ungesimulia hadithi nyingine siyo hii...haya nakwambia kutoka mfano unaoishi BIMA haidanganyi.
 
Sioni nuru yoyote Mambo ni yaleyale kwasababu akaunti zangu zimefungwa watumishi wa TRA hawana utu wanachojua ni kubambika madeni ya uongo.
Ukisema hvyo utakuwa unakosea sana mkuu, lazima kutakuwa kuna tatizo sehemu TRA from no where hawawezi kabisa kushikiria Akaunti tu kushikiria akaunti uwaga ni hatua ya mwisho kabisa ktk kudai madeni. Kama ulikuwa una file VAT bila shaka utakuwa na muhasibu fanya kuwasiliana na muhasibu wako na mfike TRA kujua shida ni nn? hizo ni pesa nyingi mkuu.
 
Dah mkuu pole sana kwa mwaswahibu hayo,,, ila hongera kwa uvumilivu ningekua mim kama hamza tu nisingelaza damu ningefanya mambo tayari
 
Hakuna mahali nimekataa kuwa si mchakarikaji. Nielewe point yangu.
Na kama sababu ipo je, ni sababu ya kulalamikiwa? Mtu asitafute tu sympathy bila kutoa maelezl kamili.
I smell a rat.
Nimesoma mwanzo hadi mwisho lakini inaonekana kuna taarifa nusu nusu sababu TRA walijuaje kama unahela huko ? Nachofahamu ukiwa na madeni TRA kuna nutaratibu wa kukujulisha ulipe na ukishindwa ndani ya muda uliopangwa basi huwa wanazuia mali yako au account zako ili uweze kubaliana nao namna ya kulipa madeni yako.

Isitoshe hakuna biashara isiyotakiwa lipa kodi labda iwe ni biashara ndogo sana. Sasa angeweka wazi alipofanya biashara alikuwa anakadiriwa kodi na kulipa ?
 
Mwaka 2008 nilipata ajira ya kibarua Cha muda mfupi (miezi 3) katika moja ya taasisi za kimataifa.

Baada ya kumaliza mkataba wa kibarua changu nilipata pesa kidogo ambayo nilijishauri kujiajiri na kuajiri vijana wenzangu kwasababu ya tatizo la uhaba wa ajira ili kuipunguzia mzigo Serikali ilionao katika sekta ya ajira.

Kipaumbele Cha kwanza ilikuwa ni kufanya uvunaji wa miti nilichukua jukumu la kwenda Katika msitu wa Londo Forest uliopo Lindi vijijini.

Nilifika Londo nikafanikiwa kupata kibali Cha uvunaji na kuanza uvunaji wa magogo ili kuchana mbao.

Kwa bahati mbaya baada ya siku Sitini na Saba msitu ulifungwa kwa sababu uvunaji (magogo) miti wa hovyo hali hii ilitishia uhai wa msitu wa Londo.

Kwa muda wa miezi miwili nilishapata faida ya million kumi na moja (11,000,000) na mtaji wangu ilikuwa ni million sita kwenye akaunti yangu tayari nilikuwa Nina million kumi na Saba (17,000,000).

Nilishawishika kwenda Katika msitu wa Sao hill uliopo mafinga Mkoani Iringa ili kufanya uvunaji wa magogo na kuchana mbao.

Mwezi wa kumi na moja nilifika Sao hill nikiwa na timu ya vijana 20 wafanya kazi wangu.

Nilinunua vibari kwa wavunaji wadogo wasio na uwezo wa kuvuna na nikaanza kazi ya uvunaji.

Nilipanua wigo wa biashara na Kuajiri (mikataba mifupi) vijana wengi Katika sehemu mbalimbali nilizofanya uvunaji Katika maeneo ya msitu wa Saohill.

BAHATI MBAYA
Kwa bahati mbaya mwezi wa 10, 2009 ulizuka Moto Katika msitu wa Mwitikilwa uliochoma mbao 15,400 na mashine (9) na magari yangu ya kubeba magogo (4) na kuchoma magogo mita za ujazo 1350m³.

Wavunaji wengi tulipata hasara na hatukupata fidia nakumbuka Mkurugenzi wa Maliasili Mistu na Nyuki Dr. Felician Kilahama alituambia wavunaji wa Saohill (kupitia chama Cha wavunaji wakati huo SAFIA) Kuwa Serikali imepoteza karibu hekta 40,000 nayo imepata hasara Haina msaada wowote kwa hiyo tusidai fidia yeyote, alikataa kutuongezea hata mgao na hivyo binafsi nilikuwa na madeni mengi sikuwa na chaguo niliuza magari niliyobakisha na kuuza rasilimali nyingine ili kulipa madeni na kuwalipa wafanyakazi stahiki zao ili warudi makwao maana wengi wa Wafanyakazi wangu niliwaagiza kutoka Msitu wa Buhindi Sengerema Mkoani Mwanza.

2010-2011 nilirudi Chuo kumalizia elimu yangu.

2012 Nilifungua kampuni ya Usambazaji vifaa vya Ujenzi, Stationery, Ushauri wa Kitaalamu wa Ujenzi, Usanifu Majengo na Ukandarasi wa barabara na Majengo.

Nilifanikiwa kupata miradi mingi ya barabara na Usambazaji vifaa Katika mikoa ya kusini Lindi na wilaya zake, Mtwara na wilaya zake ikiwemo mkoa wa Pwani na Dsm, Singida,Tabora na Kagera.

Mpaka mwaka 2014 Oktoba nilikuwa nadai 779,650,543.45 madeni kwenye taasisi mbalimbali.
2015 Nilifirisika na kufirisiwa na wadai wanaonidai kwa mara nyingine Wafanyakazi zaidi ya 15 wakapoteza ajira zao.
2016 nili fungua shauri la madai ambayo ni gharama kubwa lakini niliishia kupata vitisho.
2017 niliumwa Sana Pressure na kukaribia kufa nilikata tamaa.
2018 niliamua kurudi barabarani nilipata miradi na kuanza kufanya kwa kusuasua hataye hali ikaanza kuwa nzuri.
2019 TRA walizuia hela Katika akaunti shilingi 35,860,000 kwa kisingizio Cha madeni ambayo hata sifahamu.
2019 TRA walizuia 28,167,790.23 kwa kisingizio Cha madeni
2020 TRA walizuia kiasi Cha 8,987,000
2021 TRA walizuia 10,000,000

Mpaka Sasa wamefunga akaunti zangu kwa kisingizio Cha madeni.

Nchi yetu Kama hauna ndugu kwenye system hauwezi kutoboa ni ngumu Sana.
Nina mengi moyoni Ila Sina budi kushukuru Mwenyezi Mungu huenda ndio mapito yangu.
Kati ya uliowaajiri, walikuwepo wahasibu, wanasheria na kampuni ya bima?
 
Mwamba umepigana sana usikate tamaa kushuka na kupenda ni jambo la kawaida kwenye biashara cha kufanya angalia wapi unakosea then rekebisha mambo hatakua poa tu.
 
Mkuu kwanza kwa maelezo yako inaonekana wewe ni mzoefu wa biashara,Kuhusu TRA KUZUIA AKAUNTI zako kwa sababu ya madeni hujaweka wazi ni madeni gani kwa sababu TRA lazima wakupe maelezo ya kina juu ya aina ya madeni ambayo wanakudai.Hata hivyo usikate tamaa,Nafikiri wewe kwenye eneo la usimamizi wa fedha(Finance Management kuna vitu fulani unakosa au kukosea.

Swali la kwanza JE Ulikuwa unafanya kazi kama Kampuni katika kipindi chote hicho?Je umewahi kubadili kampuni au kuanzisha kampuni mpya?Je huwa unalipa kodi kwa mfumo gani?Kukadiriwa au kujikadiria?Unatumia Mshauri/Mhasibu?

Usikate tamaa,Naamini kabisa kwamba wewe ni BIlionea Sema tu Kuna maeneo fulani fulani hayajakaa sawa.
 
Biashara za ujanja ujanja sio nzuri.
Unasambaza vitu hewa unakula na wahasibu, wagavi na mameneja.
TRA tuko macho.
Pole, kama ulitenda kwa haki Mungu atakupigania haki zako zirudishwe
 
Kusema kweli hakuna kitu ninancho kiogopa kama TRA kwa wale ambao mewahi kufanya biashara mtanielewa, hawa jamaa ni wa sumbufu yaani sijawahi kuona aisee mimi wali niangaisha mpaka nikafunga biashara, wana kukadiria makadirio makubwa kuliko hata uwezo wa biashara yenyewe, nili nyoosha mikono juu aise.
 
Back
Top Bottom