Katika ofisi za TRA zenye huduma mbovu kabisa Tanzania mi nafikiri ni hii TRA ya ilala, yaani hakuna mtiririko Wa huduma, yaani wakati mwingine huwezi tofautisha staff na wateja, ni full mchanganyiko yaan hata hapaeleweki kabisa (ndio maana watu wanaibiwa).Kuna msongamano na vurugu utazani soko la karume, yaani ni kero halafu viti Vya wahudumu Vingi vipo wazi sasa sijui huwa wanaenda wapi.
Ombi; Kama wameshindwa kuhudumia vyema ni bora TRA watoe Uwakala katika kampuni binafsi tutalipa gharama kuriko kero kama hizo kuendelea.
Ombi; Kama wameshindwa kuhudumia vyema ni bora TRA watoe Uwakala katika kampuni binafsi tutalipa gharama kuriko kero kama hizo kuendelea.