TRA Ilala wanakera sana, naomba Mh. Rais au mkuu wa Mkoa pitia pale ujionee

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Katika ofisi za TRA zenye huduma mbovu kabisa Tanzania mi nafikiri ni hii TRA ya ilala, yaani hakuna mtiririko Wa huduma, yaani wakati mwingine huwezi tofautisha staff na wateja, ni full mchanganyiko yaan hata hapaeleweki kabisa (ndio maana watu wanaibiwa).Kuna msongamano na vurugu utazani soko la karume, yaani ni kero halafu viti Vya wahudumu Vingi vipo wazi sasa sijui huwa wanaenda wapi.

Ombi; Kama wameshindwa kuhudumia vyema ni bora TRA watoe Uwakala katika kampuni binafsi tutalipa gharama kuriko kero kama hizo kuendelea.
 
Mkuu wa mkoa hadhi yake ni local government, hana mamlaka ya kuingilia taasisi binafsi kama DAWASCO, TANESCO, TRA na nyingine.

Toa malalamiko yako kwa kamishana au hata meneja wa mkoa wa ilala, simu zao zinapatikana kwenye website ya TRA.

Kama ukiona bado hunaridhika nenda wizarani, TRA wako chini ya wizara ya fedha, kwa hiyo mabosi wote wa wizarani ni mabosi wao, wapelekee malalamiko yako mkuu.
 
Mkuu wa mkoa hadhi yake ni local government, hana mamlaka ya kuingilia taasisi binafsi kama dawasco, tanesco, tra na nyingine.

Toa malalamiko yako kwa kamishana au hata meneja wa mkoa wa ilala, simu zao zinapatikana kwenye website ya tra.

Kama ukiona bado hunaridhika nenda wizarani, tra wako chini ya wizara ya fedha, kwa hiyo mabosi wote wa wizarani ni mabosi wao, wapelekee malalamiko yako mkuu.
Asante mkuu
 
Katika ofisi za TRA zenye huduma mbovu kabisa Tanzania mi nafikiri ni hii TRA ya ilala, yaani hakuna mtiririko Wa huduma, yaani wakati mwingine huwezi tofautisha staff na wateja, ni full mchanganyiko yaan hata hapaeleweki kabisa (ndio maana watu wanaibiwa).Kuna msongamano na vurugu utazani soko la karume, yaani ni kero halafu viti Vya wahudumu Vingi vipo wazi sasa sijui huwa wanaenda wapi.
Ombi; Kama wameshindwa kuhudumia vyema ni bora TRA watoe Uwakala katika kampuni binafsi tutalipa gharama kuriko kero kama hizo kuendelea.
Na TRA wajiongeze,Ilala ni kubwa,wafungue center nyngne kama gongo la mboto, buguruni na hata kwenye wilaya nyingne, kulipa kodi kusiwe kama adhabu za mabenki tunazokutana nazo,jiongezeni kidgo!
 
Na tra wajiongeze,Ilala ni kubwa,wafungue center nyngne kama gmboto,bgruni na hta kwenye wilaya nyngne, kulipa kodi kusiwe kama adhabu za mabenki tunazokutana nazo,jiongezeni kidgo!
Upo mpango wa kufungua ofisi maeneo ya Vingunguti
 
Mkuu wa mkoa hadhi yake ni local government, hana mamlaka ya kuingilia taasisi binafsi kama dawasco, tanesco, tra na nyingine.

Toa malalamiko yako kwa kamishana au hata meneja wa mkoa wa ilala, simu zao zinapatikana kwenye website ya tra.

Kama ukiona bado hunaridhika nenda wizarani, tra wako chini ya wizara ya fedha, kwa hiyo mabosi wote wa wizarani ni mabosi wao, wapelekee malalamiko yako mkuu.
Nani kakwambia Mkuu wa Mkoa hadhi yake ni Local Government?Mkuu wa Mkoa ndie Rais wa Mkoa anamuwakilisha Rais wa Jamuhuri katika issue yoyote katika Mkoa usika,anauwezo nalo hilo la ILALA iliwahi kutokea kule Boda Silali Mara wafanyakazi wa TRA wa Boda walishitakiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa MARA kipindi hicho alikuwa Kanari Mstaafu Machibya wote walifukuzwa pale mpakani na wakaletwa watumishi wangine maana Mkuu wa Mkoa alisema awataki wafanyakazi wale na ikafanyika hivyo.
 
Siku hizi kuna zoezi la Tax Clearance, haupati Leseni mpaka upeleke Tax Clearance inayotolewa na TRA. Ndio maana kuna msongamano.
Suluhisho: Systems za TRA na Halmashauri ziunganishwe ili Afisa wa Kodi TRA na Afisa wa Leseni Halmashauri waweze kusoma data kwenye Database moja ili hilo zoezi la Tax Clearance Liwe solved haraka. i.e. kusiwe na Foleni.
 
Upo sawa kiongozi ndio maana mjumbe alitaka Mkuu wa Mkoa aingilie jambo hilo maana ni swala la mfumo lazima atokee mmoja mwenye nguvu kulisimamia,ninaamini mtu kama Mkuu wa Mkoa akiingilia kati lazima solution tupate maana yeye katika kazi zake anatakiwa kumwambia Rais sehemu ambayo ni changamoto katika mkoa wake anapompa Rais Taarifa za Mkoa wake katika changamoto zake.Rais huwa ashindwi maana yeye ndio mwenye mifumo yote ya nchi.
 
Ulienda Office ipi ya Ilala, maana centre ziko nyingi. Pole kwa usumbufu ulioupata.
 
Back
Top Bottom