TRA, EFD mnaanza kuzitoa lini Bure?

Michael Paul

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
403
319
Katika hotuba ya Rais Magufuli kwa wafanyabiashara alipendekeza wafanyabishara wapatiwe mashine za EFD bure.

Lakini sasa ni zaid ya miezi mitatu na TRA kimya; wanaanza lini kuzitoa hizi mashine za EFD kama Mh. Rais ailivyopendekeza?

Zilizopo sokoni zipo overpriced sana!!
 
Back
Top Bottom