TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

Subira

Senior Member
Mar 7, 2009
185
225
PENGINE NI WAKATI WA KUNYOOSHANA
MH RAIS

TRA ARUSHA WAMEFUNGA MADUKA YOOTE KWA KUKADIRIA WATU PESA ZA JUU NA KUOMBA WAPEW KIASI FULANI KAABLA YA MAZUNGUMZO

HALI HII TULIZOEA HUKO NYUMA LAKINI SASA MH RAISI INATIA AIBU SANA SANA WANATURUDISHA KULE TULIPOTOKA

MFANO TU

MFANYABIASHARA BENSON WAMEMKADIRIA ANATAKIWA KULIPA BIL 3

KABLA YA MAONGEZI YOYOTE AMEAMBIWA ATOE BIL 1 MEZANI WAMALIZAN

SIO HUYU TU WAPO UZUNGUNI BAR

HAWA WAMILIKI WAAMEPELEKEWA BILL YA MIL 200

KABLA YA KULIPA WAMEAMBIWA WAWEKE MEZANI MIL 50

NAOMBA MUELEWE TOFAUTI YA KUWEKA MEZANI NA KULIPA.....

TUNAOMBA KAMISHNA MKUU WA TRA NENDA ARUSHA WAFANYABIASHARA WAMEFUNGA OFISI KWA MAKADIRIO YAAIOYA KWELI HUKU WAH WAKITAKA PESA ZA AJABU WAWEKEWE MEZANI

MH RAISI TUNAOMBA TUWAFATALIE SANA HAWA MABWANA WANATUTIA AIBU......KABLA ATUJAENDELEA KULETA LIST NZIMA YA WAFANYABIASHARA WALIOOMBWA HELA KUWEKA MEZANI
Kweli kabisa hapa atusha wanakula rushwa sana mi ntatoa ushahidi ikibidi
 

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
555
500
Ndo hapo wafanyabiashara wakishauriwa waajiri proper wahasibu wenye qualification za juu kama CPA hawataki wakati hata kutunza na kuandaa vzuri kumbukumbu za kodi hawafanyi hapo utawalalamikia tu TRA.
Lakini kama kumbukumbu za na hesabu wanazo na kila mauzo hulipa kodi husika huna sababu ya kuogopa peleka hesabu zako tuone kama hawatakufungulia.

Tatizo la wafanyabiashara wakubwa wanakosa elimu ya kodi hvyo kujikuta kwenye faini na malimbikizo ambayo wangeyaepuka.
 

Maswa 1

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
677
1,000
Arusha iko chini ya Chadema lakini ni rushwa tupu.

Chadema hamuyaoni haya?
 

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,288
2,000
Ila Benson acha yampate tu. Jamaa Ni racist Na lionevu lilinetesa Sana kibaruani. Na mwengine aliyewahi kunitesa kibaruani Ni huyu jamaa mjeda anayejisif ruban wa kwanza wa ndege za majeda anaishi mbezi nilifurahi alivyoshindwa kura za maoni baada ya yule mbunge kufa kwenye ajali ya ndege. Yani hawa wawili Na wamaindi kichizi waonevu. Kwa hili Sizonje ashukuriwe Benson alizoea dezo Sasa acha I we fair play alipe kodi
 

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
7,288
2,000
Ndo hapo wafanyabiashara wakishauriwa waajiri proper wahasibu wenye qualification za juu kama CPA hawataki wakati hata kutunza na kuandaa vzuri kumbukumbu za kodi hawafanyi hapo utawalalamikia tu TRA.
Lakini kama kumbukumbu za na hesabu wanazo na kila mauzo hulipa kodi husika huna sababu ya kuogopa peleka hesabu zako tuone kama hawatakufungulia.

Tatizo la wafanyabiashara wakubwa wanakosa elimu ya kodi hvyo kujikuta kwenye faini na malimbikizo ambayo wangeyaepuka.
unadhani hawajui Basi. Ni wakwepa Kodi wakubwa ndio maana jamii hizi za kihindi wasomali Na waarabu hawawezi biashara ulaya wakapata faida ya kutisha mzungu Hana Sanaa huku fair play ukimuona tajiri yeyote ulaya muheshimu.

Hata Kama Sizonje akatubu kwaajili ya mustakabali wa Taifa kwaa hili la watu kulipa kodi msela apongezwe Na kuungwa mkpno
 

MTEMIII

Member
Aug 25, 2017
27
75
ilo la kutanguliza kias cha pesa mtu anachodaiwa sio rushwa n matakwa ya sheria na ili uweze kusikilizwa madai yako au rufaa n lazima ulipe kiasi icho ata kama umeonewa na ikitokea umeshinda basi kiasi icho utarudishiwa au kuingizwa kwene malipo yatakayofuta kama utaendelea na biashara...ila wafanyabiashara wene asili ya kaskazin hawapendagi kusikia kuli kodi na wamekalili wanazani kufanya biashara n kipaji awamu i kama unafanya biashara kwa kipaji utafeli tu kwani lazima uwe na elimu ya biashara.ata wakienda kwa wahasibu wanachotaka kusikia n 'usilipe kodi'.
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,130
2,000
*Habari wandugu*
Siku ya mkesha wa mwaka mpya tunatarajia kufanya sherehe ndogo nyumbani kwangu vyakula na vinywaji vyote vitakuwepo, hivyo basi kama una nafasi na wewe fanya yako nyumbani kwako na familia yako
 

G_crisis

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
724
250
Mfanyabiashara yupo tayari kulipa Kodi ya pango ya frem Sh. 3,600,000 kwa mwaka, lakini anaona anaonewa kwa kukadiriwa Kodi ya Mapato ya Sh. 546,000 kwa Mwaka!!!!!! Wenzenu waajiriwa wanakatwa Kodi kila mwezi Bila malalamiko! Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom