Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 668
mkurugenzi wa mohamed enterprises na mbunge wa singida mh. mohamed dewji akisakata sebene siku staa walioporejea na ushindi dhidi ya bukia faso. mchana huu mh. dewji ametoa motisha kwa timu ya taifa ya bara kwa kuahidi kwamba endapo timu hiyo itashinda kombe la chalenji linaloanza jumamosi hapa dar na arusha ataizawadia dola 30,000 na atatoa dola 20,000 endapo watakuwa wahindi wa pili na dola 10,000 wakimaliza washindi wa tatu. ikumbukwe cecafa wametoa donge kama hilo hilo kwa washindi watatu wa kwanza ambapo ndio kusema mambo yatakuwa dabo dabo kwa kili staaz endapo watashinda. Mungu awape ni; donda?
Michuzi Blog
Bila kuwasahau N. Karamagi kwa pesa lukuki alizotoa kwa wana Kagera.
EL kwa mamillioni aliyotoa awali.
Matajiri wa Tanzania katika kutoa misaada kama hii, swali ni Je, wanalipa kodi kwenye biashara zao bila kudanganya? TRA wanaweza kutoa hati sahihi kuomyesha kwamba watoa motisha kama hawa huwa wakweli katika kulipa kodi zao? Isiwe ni changa la macho na TRA ndio wanakaa kimya.