Uchaguzi 2020 TPSF na Siasa za Uchaguzi: Waandaa mkutano kumpongeza Rais Magufuli kwa mafanikio makubwa ya miaka 5 iliyopita

Niko hapa ukumbini kufuatilia kwa makini mkutano huu muhimu sana wa kumshukuru Mhe. rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa shukrani za maneno na kauli. Shukrani za vitendo tutampa siku ya tarehe 28 October.

P

Akukumbuke hata kwenye U- DC basi. Ushalamba viatu mda mrefu sana.
 
WANAMZUGA TU SEKTA BINAFSI KAIUA KABISA HAWAMPI KURA DANGANYA TOTO JIWE ANAFANYIWA
 
Kwa kweli sekta binafsi imekuwa na mafanikio sana kipindi hiki. Yaani kodi inayokusanywa inaonekana kazi inayofanya.
 
Niko hapa ukumbini kufuatilia kwa makini mkutano huu muhimu sana wa kumshukuru Mhe. rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa shukrani za maneno na kauli. Shukrani za vitendo tutampa siku ya tarehe 28 October.

P
Ndugu Mayalla nimekuona hapo unazunguka ukumbini nikataka nikusabahi nje ukawa unaondoka na kuingia kwa gari

Kimsingi Mkutano ulikuwa mzuri sana kwa maana zile kero zote za hivyo ambazo zilikuwa kikwazo kwa wafanya biashara sasa zimeondolewa

Myonge mnyongeni lakini Rais Magufuli anastahili pongezi kwa kuondoa ukiritimba huu

Hongereni sana TPSF kwa kuliona hili na kumpa heshima Rais wetu Dr John Pombe Magufuli
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom