TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

Watu kama nyie mnafurahisha kweli umeshawahi kuangalia documentary yoyote ya cyber war.

Watu wanatumiana salamu kwa kuingilia infrastructures za nchi, Iran mitambo yao nuclear enrichment ilipoingiliwa walirudisha salamu kwa kuzima traffic lights na kuchezea kidogo New York subway kwa lengo la kuonyesha ata wao wakiamua wanaweza peleka mazara U.S.

U.S wenyewe na wao wakadai wana uwezo huohuo wakiamua kuingilia mifumo yao mpaka ya maji na kupeleka madhara makubwa aijatokea.

Wewe unashangilia system ya TANESCO kutengenezwa na wahindi halafu kusimamiwa in real time India; we might as well tell them where the nation stores its military ammunition’s.

It’s just stupid, ata watu wakishanunua ndege za vita kitu cha kwanza wana configure electronic systems zake, usidhani waarabu wananunua tu ndege US na software za US.

............................

Na ata hiyo tender ya TPDC ilikuwa kwa ajili ya consultants kuja kuwanoa wataalamu kabla ya majadiliano kuanza; waingie wamejipanga. Sio consultant aje au ashiriki kipindi cha majadiliano na kuweka influence zake.
Acha porojo jibu suali langu.

Kwa nyongeza tu ni kwamba hata juzi waziri Mkenda amewaambia jamaa waanze kutengeneza vipuri hapahapa TZ.

Uwezo huo Tanzania bado sana buddy, na wala sishangulii Tanesco kuajiri wahindi huo ni upumbavu wetu waafrika tulio nao kwa miaka 60.
 
Real time monitoring inafanyikia wapi hivi unafahamu nishati, hasa ya umeme ilivyo sensitive kwenye maswala ya national security.

Ndugu ata huko mamtoni kwenye wazalishaji binafsi serikali kuwamudu kuna strategy za kuwakagua kupitia regulator sikia tu, maana kuna watu washaanza kulilia TANESCO igawanye wakati usimamizi wa inventory ya mafuta ya kupikia tu kwetu shida, tunataka kuchezea sensitive areas za usalama wa nchi.

Pamoja na nchi tajiri kuachia private firms kuzalisha umeme; ikifika kwenye swala kusimamia national grid ni la serikali.

TANESCO na ukubwa wake unaenda tengeneza GIS electrical system inayofanya real time monitoring ya power supply Tanzania halafu control ipo India.

You people are not serious, tusione watu wanafanya vitu huko kwa wenzetu tukachukulia poa wana system zao ambazo zimewekewa ringfenced with national security in mind.

Kama ni admin system ya kawaida sidhani kama inahitaji real time monitoring.
 
Naelewa kwamba Tanesco ni part of national infrastructure security sensitive, na nimewahi kulizungumza hili humuhumu JF.

Sasa, kuaachia watu wachache waamue kuingilia mifumo hii inohusiana na maslahi na usalama wa taifa ni jambo la kipumbavu.

Wenzetu wanadhibiti hizi kampuni kwa regulations mbalimbali likiwemo suala la mfumuko wa bei ya bidhaa hii ya umeme.

Kampuni nyingi za private zinafuata guidelines na regulations je sisi kama nchi baada ya miaka 60 ya uhuru, tunazo strong guidelines na regulations?

Kwa kuendelea kuiingilia Tanesco kwa hujuma ili majenereta yapate soko huo ni upumbavu na si ujinga.
 
Walau una uungwana wa kukubali tatizo lilipo moreover wakati Tanzania wanazungumza contract ni ya kutengeneza customer system, huko nje mkataba unasema tofauti.

This is the actual contract:
"TANESCO, an integrated power utility company, is engaged in the entire value chain of generation, transmission & distribution across Tanzania and is currently transforming itself into a digital enterprise, deploying the full spectrum of technology. As part of the ‘Design Supply, Installation, Implementation, Training and Commissioning of Corporate Management System (CMS) and Supporting Infrastructure,” Tech Mahindra will implement digital solutions such as SAP S4 Hana, SAP Billing, Esri GIS, Huawei Infrastructure, and new edge solutions as Drones, to increase operational efficiency, improve service quality, and enhance customer experience for the power utility company. As part of the collaboration, Tech Mahindra will focus on delivering greater flexibility across Digital IT operations, which includes modernizing core operations and internal applications to drive innovation and accelerate TANESCO’s digital transformation journey."

Unategemea mifumo hiyo ifungwe halafu TANESCO wa manage wenyewe nah wanawaachia wafanye monitoring huko India huku wakijisifia tunatumia satellite. Yaani unamuwachia mtu mmoja aone admin system yako, electricity production na suppply at any time. Halafu wanakwambia lala usingizi mnono nchi yako inalindwa vyema.

Huko kwenye mfumuko wa bei wala ata usiongelee its a whole pamoja na GAS kupanda bei duniani kipindi cha baridi makelele ya ulaya utadhani wateja wameathirika; makampuni makubwa yananunua GAS well in advanced with agreed price to safe guard consumers. Sisi GAS yetu na bado TANESCO inauziwa kwa bei ya soko hakuna mwenye akili huko serikalini wakati wanaingia mikataba kuweka kipengele hiyo bidhaa Tanzania itakuwa na cap price ili watanzania wafaidike walishabugi Songas na itakuwa ivyo ivyo huko Lindi kwenye LNG wapo busy na mambo ya local contents badala ya kuangalia maslahi mapana na vitu vya msingi.
 
Hakuna Local Firm inayoweza Kufanya hio kazi??
Hakuna mkuu tusidanganyane haya mambo yanataka experience ,wenye mahotel wangap wabongo mnaajiri wakenya ,ajira za kizalendo ni kufua ,kudeki ulinzi getin ila mambo ya kitaalamu we hire the best come from whereva ,gesi ni mradi wa matillion unataka tumpe kinatala
 
Basi tusiwe tunafundisha sheria
 
Basi tusiwe tunafundisha sheria
Fundisheni vizuri ndani ,wapeni sponsorship watoto wakasome best universities ,hawa waingereza hawajapewa kama maandazi wamecompete .hata ww ukihitaji daktari bora wa kumpasua moyo mwanao utachukua daktari bora popote au mtanzania mwenye chet tu???
 
Back
Top Bottom