TPDC Vacancies - Apply Now!

Comrade ZD

Member
Jan 7, 2013
26
11
Kuna kazi nyingi nyingi wamepost hawa watu wa Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC)

Jaribuni bahati zenu.

=============

GEOPHYSICIST II (Three Posts)
GEOLOGIST II (Three Posts)
PETROLEUM ENGINEER II (Two Posts)
RESEARCH OFFICER II - Five Posts (Three Posts – Chemical & Process and Two for Mechanical Engineer)
INTERNAL AUDITOR II - Eight Posts
CIVIL ENGINEER II (Two Posts)
GEOCHEMIST II (Three Posts)
MICROPALAEONTOLOGIST II (One Post)
PALYNOLOGIST II ( Two Posts)
LABORATORY TECHNICIAN II (Four Posts)
PLANNING OFFICER II (Two Posts)
FINANCE OFFICER II (One Post)
PRINCIPAL LEGAL OFFICER II (One Post)
SENIOR LEGAL OFFICER II (One Post)
LEGAL OFFICER II (One Post)
SYSTEM ANALYST II (One Post)
HUMAN RESOURCES OFFICER II (One Post)
ADMINISTRATIVE OFFICER II (One Post)
PUBLIC RELATIONS OFFICER II (One Post)
STORES OFFICER II (One Post)
ACCOUNTANT II (One Post)
CARTOGRAPHER II (Two Posts)
TECHNICIANS: MECHANICAL/CHEMICAL/WATER/ELECTRICAL/INSTRUMENTATION (10 posts)

Deadline of Applications - 27th June, 2013.
 
Attachments

  • TPDC_CAREER_OPPORTUNITIES.pdf
    182 KB · Views: 1,795
nimecheki zimetulia kweli lakin vigezo navyo vimeshiba ila tukapambane..........iyo tpdc ps 5 inaonekana imetulia
 
nimecheki zimetulia kweli lakin vigezo navyo vimeshiba ila tukapambane..........iyo tpdc ps 5 inaonekana imetulia
vigezo vya 1st class na upper 2nd naona wameweka tu ili kudiscourage watu..kwa vyuo vya umma si wengi sana kupata hizo..lakini tujaribu tu ila daah kwenye legal officers wameua full ma experience sasa unajiuliza experience yote hiyo bado mtu hujagonga 30 kweli..?ila wanatishia tu nafikiri..all the best..
 
Jaman hayupo wa kuandika hizo post hapa tukaziona maana wengine tunatumia simu hazifungui pdf,hakuna umeme wala internet cafe,simu tunachaji kwa jenereta
 
Duh! pole...sasa kwa matatizo yote hayo utaweza kweli kuja interview Dar???

Interview na tatizo la umeme havina uhusiano! Hakuna umeme lakini huduma nyingine zipo,nafanya biashara ya mazao kijijini baada ya kumaliza chuo kikuu sikutaka kukaa mjini-kama ni interview usiwe na hofu mkuu...ishu ni umeme tu hapa ni tatizo tunawasha jenereta usiku saa moja mpaka sita usiku
 
Jaman hayupo wa kuandika hizo post hapa tukaziona maana wengine tunatumia simu hazifungui pdf,hakuna umeme wala internet cafe,simu tunachaji kwa jenereta

Sio simu zote,mimi natumia simu na post zote nimeziona labda simu yako uwezo wake mdogo
 
Sio simu zote,mimi natumia simu na post zote nimeziona labda simu yako uwezo wake mdogo

nokia asha mkuu hai download pdf asha 102 nisaidieni jamani kama kuna mtu wa kuziandika hapa hizo kazi tukaziona,atleast weka list ya kazi zote hata bila kuandika qualification kwa kila kazi...just a list
 
Interview na tatizo la umeme havina uhusiano! Hakuna umeme lakini huduma nyingine zipo,nafanya biashara ya mazao kijijini baada ya kumaliza chuo kikuu sikutaka kukaa mjini-kama ni interview usiwe na hofu mkuu...ishu ni umeme tu hapa ni tatizo tunawasha jenereta usiku saa moja mpaka sita usiku

Namna ulivyojieleza hapo juu nikajua labda unaishi vijiji vya ndani sana ambako hata taarifa za kuitwa kwenye usaili unaweza usizipate...fikiria kama simu haina "chaji" na ndio njia pekee ya wewe kufikiwa....
 
simu haiwezi kuishiwa chaji mkuu..betri zipo tatu,nachaji kwa kutumia multcharger bila kuathiri upatikanaji hewani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom