SPY CATCHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 285
- 186
Men lie women lie numbers don't lie
Ni nani anawatumia TPDC na Ewura kutoa taarifa za uwongo kulipotosha taifa juu ya sakata la Dangote?
Kwa nini Mawaziri Muhongo na Mwijage waliita press conference na kusema kuwa Dangote alitaka gesi ya BURE?
Sasa imekuwaje juzi TPDC wametoa taarifa kuwa Dangote hakutaka Gesi ya bure na walikubaliana bei?
Sasa kwa nini hizo bei walizotoa TPDC haziendani na ambazo walikubaliana na Dangote?
Hiyo nyongeza ya dollar 3 imetoka wapi, lini? iliinginzwa na nani? kwa mkataba upi? zinaenda wapi? kufanya nini?
Hiyo nyongeza ya dollar 3 mbona mamlaka husika wa kupanga hizi bei (EWURA) hawana habari nazo? Kuna siri gani hapa kuhusu hii dollar 3?
Mheshimiwa Magufuli watu wako wanakuchezea akili na nakushauri uwe una refresh Jukwaa la Siasa hapa Jamiiforums kila baada ya dakika 5 utapata more insights into this issue kuliko hao watu wako hapo ofisini kwako.
This plot thickens....