TPA yapokea msaada wa dola za Marekani milioni 60 kwa ajili ya miradi ya bandari

TPA

TPA

Verified Member
Joined
Sep 28, 2016
Messages
49
Likes
71
Points
25
Age
39
TPA

TPA

Verified Member
Joined Sep 28, 2016
49 71 25
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia makubaliano na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) ambayo itatoa msaada wenye thamani ya Dola Marekani Milioni 60 sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 132 kwa ajili ya maboresho ya miradi mbalimbali ya Bandari ya Dar es Salaam.

Msaada huo unatarajiwa kusaidia uboreshaji wa barabara za ndani ya bandari, eneo la uhifadhi wa makontena, mizigo, kuongeza uwezo wa bandari kuchukua meli kubwa zaidi, kuendesha upembuzi yakinifu wa kuanisha maeneo mengine ya maboresho, kuifanya bandari ya Dar es Salaam kuwa rafiki ‘green port’ na kuangalia maboresho zaidi ya mifumo ya kielektroniki.

Makubaliano hayo yamefanyika leo Makao Makuu ya Mamlaka ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga walitia saini makubaliano hayo mbele ya vyombo vya habari.

upload_2016-12-7_8-57-3-jpeg.443403

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (watatu kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga (wapili kulia) wakiweka saini makubaliano hayo mbele ya vyombo vya habari

upload_2016-12-7_9-0-29-jpeg.443404

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko akibadilishana hati ya makubaliano na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga mara baada ya kuweka saini makubaliano hayo.

upload_2016-12-7_9-0-43-jpeg.443405

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga wakionesha hati ya makubaliano mara baada ya kuweka saini makubaliano hayo.

upload_2016-12-7_9-3-51-jpeg.443412

Mkuu wa Shirika la DFID Tanzania, Bw. Vel Gnanendran (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Katikati ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Karim Mattaka.

upload_2016-12-7_9-4-27-jpeg.443413

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (wanne kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla hiyo.

upload_2016-12-7_9-5-17-jpeg.443414

Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla hiyo.
upload_2016-12-7_9-5-46-jpeg.443416

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
upload_2016-12-7_9-3-13-jpeg.443409

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
upload_2016-12-7_9-2-51-jpeg.443407

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
upload_2016-12-7_9-3-25-jpeg.443410

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
28,338
Likes
35,580
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
28,338 35,580 280
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia makubaliano na Kampuni ya TradeMark East Africa (TMEA) ambayo itatoa msaada wenye thamani ya Dola Marekani Milioni 60 sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 132 kwa ajili ya maboresho ya miradi mbalimbali ya Bandari ya Dar es Salaam.

Msaada huo unatarajiwa kusaidia uboreshaji wa barabara za ndani ya bandari, eneo la uhifadhi wa makontena, mizigo, kuongeza uwezo wa bandari kuchukua meli kubwa zaidi, kuendesha upembuzi yakinifu wa kuanisha maeneo mengine ya maboresho, kuifanya bandari ya dar es salaam kuwa rafiki ‘green port’ na kuangalia maboresho zaidi ya mifumo ya kielektroniki.

Makubaliano hayo yamefanyika leo Makao Makuu ya Mamlaka ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga walitia saini makubaliano hayo mbele ya vyombo vya habari.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (watatu kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga (wapili kulia) wakiweka saini makubaliano hayo mbele ya vyombo vya habariMkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko akibadilishana hati ya makubaliano na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga mara baada ya kuweka saini makubaliano hayo.Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga wakionesha hati ya makubaliano mara baada ya kuweka saini makubaliano hayo.
Mkuu wa Shirika la DFID Tanzania, Bw. Vel Gnanendran (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Katikati ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Karim Mattaka.Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (wanne kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla hiyo.Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla hiyo.Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
Mkuu TPA, kwanza nimefarijika sana kuwa ni mmoja miongoni mwa walioshuhudia tukio hili jana hapo makao makuu ya TPA, nimefarijika zaidi kujua TPA ni member wa jf, hivyo sasa jf tutakuwa tunapata reliable info kutoka bandarini, hii itaisaidia sana jf kupata info za uhakika, big up TPA ku join JF.

Sahihisho dogo, Trademark East Africa sio kampuni, ni taasisi ambayo ni NGO.

Paskali
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,002
Likes
5,236
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,002 5,236 280
Naona DG wa TPA ex-Tanroads anajaribu kuisogeza mbele bandari yetu. Safi sana Engineer!
 
Steven Nguma

Steven Nguma

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
553
Likes
478
Points
80
Steven Nguma

Steven Nguma

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
553 478 80
Hongereni sana TPA,Naomba sana muangalie miundo mbinu ya getini hasa wakati wakutoa mizigo mipana na mikubwa sisi watu wa usafirishaji tunapata shoda sana kona ni ndogo sana hasa geti no 3,jaribuni kuliangalia upya bado mageti yenu niyale ya zamani,kuweka hizo mashine za ukaguzi sio suluwisho kikubwa nikuweka njia pana na bora ya kupitisha kila aina ya mizgo.Muangalie na SCANA mashine utendaji sio mzuri wa hapo ni hatari sana kwa maisha ya madereva
 
amygdala

amygdala

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,081
Likes
973
Points
280
amygdala

amygdala

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,081 973 280
mkuu kashirikishwa lakin?
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Kuna kitu huwa kinachanganya sana, huwa ni misaada kweli au mikopo?
 
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
8,444
Likes
4,459
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
8,444 4,459 280
Hao jamaa wanafaidika na nini?
 
TPA

TPA

Verified Member
Joined
Sep 28, 2016
Messages
49
Likes
71
Points
25
Age
39
TPA

TPA

Verified Member
Joined Sep 28, 2016
49 71 25
Mkuu TPA, kwanza nimefarijika sana kuwa ni mmoja miongoni mwa walioshuhudia tukio hili jana hapo makao makuu ya TPA, nimefarijika zaidi kujua TPA ni member wa jf, hivyo sasa jf tutakuwa tunapata reliable info kutoka bandarini, hii itaisaidia sana jf kupata info za uhakika, big up TPA ku join JF.

Sahihisho dogo, Trademark East Africa sio kampuni, ni taasisi ambayo ni NGO.

Paskali
Asante Pascal tumesharekebisha.
 
TPA

TPA

Verified Member
Joined
Sep 28, 2016
Messages
49
Likes
71
Points
25
Age
39
TPA

TPA

Verified Member
Joined Sep 28, 2016
49 71 25
Hongereni sana TPA,Naomba sana muangalie miundo mbinu ya getini hasa wakati wakutoa mizigo mipana na mikubwa sisi watu wa usafirishaji tunapata shoda sana kona ni ndogo sana hasa geti no 3,jaribuni kuliangalia upya bado mageti yenu niyale ya zamani,kuweka hizo mashine za ukaguzi sio suluwisho kikubwa nikuweka njia pana na bora ya kupitisha kila aina ya mizgo.Muangalie na SCANA mashine utendaji sio mzuri wa hapo ni hatari sana kwa maisha ya madereva
Steven tunashukuru ushauri wako utafanyiwa kazi.
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,768
Likes
21,902
Points
280
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,768 21,902 280
mnaboresha ili mtoe mizigo gani au baada ya miaka 10 ?
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Babati huu ni msaada kutoka Serikali ya Uingereza.
Mkuu hujajibu swali, tofauti ya msaada na mkopo? maanake kila siku nasikia misaada lakini deni la taifa linaongezekana.
 
Bondpost

Bondpost

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Messages
2,073
Likes
626
Points
280
Bondpost

Bondpost

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2011
2,073 626 280
Mkuu hujajibu swali, tofauti ya msaada na mkopo? maanake kila siku nasikia misaada lakini deni la taifa linaongezekana.
Umeshaambiwa ni msaada wewe unang'ang'ania mkpo sijui deni la taifa linaongezeka. TPA haiwezi kuongelea deni la taifa hilo muulize waziri wa fedha ila naona tpa wapo clear kwamba ni msaada kutoka uingereza
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Umeshaambiwa ni msaada wewe unang'ang'ania mkpo sijui deni la taifa linaongezeka. TPA haiwezi kuongelea deni la taifa hilo muulize waziri wa fedha ila naona tpa wapo clear kwamba ni msaada kutoka uingereza
Hujalazimishwa kujibu, acha wajibu wenye ufahamu. Tatizo nini kwako?
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,787
Likes
17,099
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,787 17,099 280
Kweli JF sio ya kuzinguliwa, tcra, tpa etc wana accounts zao humu.
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
7,739
Likes
9,707
Points
280
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
7,739 9,707 280
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia makubaliano na Taasisi ya TradeMark East Africa (TMEA) ambayo itatoa msaada wenye thamani ya Dola Marekani Milioni 60 sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 132 kwa ajili ya maboresho ya miradi mbalimbali ya Bandari ya Dar es Salaam.

Msaada huo unatarajiwa kusaidia uboreshaji wa barabara za ndani ya bandari, eneo la uhifadhi wa makontena, mizigo, kuongeza uwezo wa bandari kuchukua meli kubwa zaidi, kuendesha upembuzi yakinifu wa kuanisha maeneo mengine ya maboresho, kuifanya bandari ya Dar es Salaam kuwa rafiki ‘green port’ na kuangalia maboresho zaidi ya mifumo ya kielektroniki.

Makubaliano hayo yamefanyika leo Makao Makuu ya Mamlaka ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga walitia saini makubaliano hayo mbele ya vyombo vya habari.

View attachment 443403

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (watatu kulia) na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga (wapili kulia) wakiweka saini makubaliano hayo mbele ya vyombo vya habari

View attachment 443404

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko akibadilishana hati ya makubaliano na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga mara baada ya kuweka saini makubaliano hayo.

View attachment 443405

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko na Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga wakionesha hati ya makubaliano mara baada ya kuweka saini makubaliano hayo.

View attachment 443412

Mkuu wa Shirika la DFID Tanzania, Bw. Vel Gnanendran (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla hiyo. Katikati ni Kaimu Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Karim Mattaka.

View attachment 443413

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko (wanne kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla hiyo.

View attachment 443414

Mkurugenzi Mkazi wa TradeMark East Africa (TMEA), Bw. John Ulanga (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari katika hafla hiyo.
View attachment 443416
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
View attachment 443409
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
View attachment 443407
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
View attachment 443410
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakishuhudua tukio hilo.
it's shameful kwa taasisi kama TPA kusaidiwa. operations zake ni 100% commercial oriented so ina uwezo wote kabisa wa kuji-sustain yenyewe.

misaada kama hii is nothing to be proud of at all.

hospitali zetu zinahitaji madawa na vifaa. elekezeni huu umatonya kule at least.
 
Jodeo

Jodeo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
1,032
Likes
805
Points
280
Jodeo

Jodeo

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
1,032 805 280
Kuna makubaliano wamefanya kwa mujibu wa taarifa hiyo! Hakuna msaada ulio na makubaliano! Makubaliano ~ Masharti
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
6,414
Likes
6,474
Points
280
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
6,414 6,474 280
Tukizoea kuomba omba kuna siku TPA wataomba bahari kutoka USA..maji yapo tuu hayo punguzeni figisu figisu na kodi mizigo ije mingi muweze kujiendesha wenyewe bila kutegemea misaada kila kukicha na huku uwezo tunao...
 
Forum statistics

Threads 1,274,221
Members 490,631
Posts 30,505,121