Tpa wameshatangaza majina ya kuitwa kwenye usaili?

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,982
34,476
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa za mamlaka ya bandari TPA kuita/ kuteua majina ya walioomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi wa 7/8
 
Nadhani kama wakiita ni vizuri wadau tukataarifiana humu, nadhani itasaidia wengi
 
Kwa ninavyoijua TPA wadau mtangoja milele kama wafuasi wa kibwetere..............Hao wanawekana kazini ndugu zangu na hamuwezi itwa kamwe.
 
Polen,wa2 2shakula na mishahara huku.
wewe jamaa huaminiki kabisa yaana unakuwa kama Malaria Sugu bwana!!!!! Usitufanye sisi watoto wenzio hapa. Wewe si upo Bcom pale Mlimani. Acha hizo bwana mdogo vinginevyo tutakuwa tunakupuuza sasa hivi. Usidhani kila mtu anafanya mzaha mzaha kama wako
 
Naona ndani ya dailynews la leo wametoa namba ya kupiga bila malipo, nadhani inaweza kuwa nzuri kuuliza, namba ni 0683 800 812, binafsi nimejaribu kuipiga inaita na kukata mara moja nadhani pia ni kutokana na eneo nililopo, netweki inasumbua
 
Hamna kitu hapo ni kwa wa pare tu hali itabadilika endapo watakuwa wanarecruit through recruitment coys/firms
 
Back
Top Bottom