TP Mazembe wasema Yanga ina bahati kucheza nao kwa kuwa wamepata umaarufu, ila watawafunga goli tano

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Mashabiki wa Tp Mazembe wamejigamba na kusema kuwa Yanga ishukuru kucheza na Tp Mazembe kwa kuwa wamepata umaarufu kwa kuwa wao ni timu kubwa Afrika wamesema kuwa wakifika kwao wataifunga goli tano
 
Yanga wamewasaidia sana mashabiki wa Simba wamewaona TP Mazembe...Simba inaishia kucheza na JKT Ruvu tu kila siku
 
Tunakubali mpira wametuzidi jana ila hulo kwao august tutapambana nao kama kawa.
 
Mikia ndondo cup inaendelea nendeni mkashabikie,nimemuona jana Ajibu anakata viuno mchangani.ndio size yenu.mpaka mwaka kesho kutwa panapo majaliwa(sio waziri mkuu)
 
Back
Top Bottom