Tp mazembe vs cs sfaxien

Hivi kumbe wako Lubumbashi, naangalia huu mpira kwenye channel ya Aljazeera sasa timu zilivyoandikwa ni kinyume tulivyozoea kwa maana timu ya kushoto kwenya kibao cha wakati na timu scores ndio anakuwa mwenyeji, hapa TP Mazembe wako kulia. Asante kwa kunijuvya kwamba Mazembe wako nyumbani.

Samatta amefunga goli zuri sana.

Tiba
 
Wakapoteza taji hivi hivi, makombe yote makubwa yameenda Arabuni.

Back
Top Bottom