TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Nyie washangilieni hao hao tp mazembe muwape gundu..nani asiyejua timu lenu ckuhz na mashabiki wake wamejaa gundu...simba tunashinda sababu tunacheza na timu ambazo kunawatu wamejaa gundu wanajaribu kazishabikia..kamweneeeeee
Angalia hapo mechi za TP mazembe home na simba msimu huu. Jiandaeni kisaikolojia tu.
 
Hatuna cha kupoteza...malengo yetu yalikuwa tucheze makundi tukafikia na tumevuka lengo tunacheza robo fainali...nyie makwasukwasu a.k.a bakuli fc yanawahusu nini...pilipili msiyoila yawawashia nini
Cha kupoteza mnacho ndo maana povu linakutoka mkuu.

Kwani hamkuwa na malengo ya kubeba kombe?
 
Cha kupoteza mnacho ndo maana povu linakutoka mkuu.

Kwani hamkuwa na malengo ya kubeba kombe?
Hahaaah povu wanatoa makwasukwasu fc...mechi ya simba na tp mazembe makwasukwasu yanawahusu nini...nipe ile namba yenu mnayokusanyia michango na buku hapa nataka kuwachangia mulipe mishahara wachezaji nasikia wanashinda njaa huko hahaah
 
Hatuna povu bhana. Tunakushangaeni mnaposema tuoneshe uzalendo kwenu wakati tulishaachana kitambo kuoneshana uzalendo.

Yanga lazima tuishangilie timu yenu pinzani.
We sema yote lkn leo mkipita hapo nitakupeni pongezi ila siwezi kuishangilia simba.

Hata chakula siwezi kula kama kimo ndani ya chombo cha rangi nyekundu😂😂😂😂😂
 
Nani kawaomba mtushangilie...kwani mpaka tulipofika hapo tumefika kwa kushangiliwa na nyinyi???we weka namba hapa na buku nataka niwatumie wachezaji wasife njaa
 
Nani kawaomba mtushangilie...kwani mpaka tulipofika hapo tumefika kwa kushangiliwa na nyinyi???we weka namba hapa na buku nataka niwatumie wachezaji wasife njaa
Hapo mlipofika ni kwa msaada wetu.
Mnacheza huku mnawaza kutukomoa Yanga.
Bila sisi msingefika huko, trust me.

Ila leo sijui. Nadhani mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Baada ya kutapatapa kushangilia mechi za watu
FB_IMG_1554927333735.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa neno Yanga.weka neno simba na ujumbe utafaa kwa simba anavyocheza na Tuite Puisant Mazembe leo Jumamosi April 13, 2019 robo fainali second leg huko Lubumbashi baada ya first leg kutoka suluhu Dsm ambapo John Boko alikosa penati
Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga. Tayari nimesha-bet Yanga itapigwa 0-2.
Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni kwamba Yanga wanadharau sana na wamejaa majivuno kwa club za ndani.
Msemaji wao amekuwa akirusha kashfa na matusi kwa kila aliye mbele yake mwenye mawazo kinzani. Kwa kuwa Yanga haijawahi kumchukulia hatua naamini wanamtuma kufanya hayo madudu. Juzi kwa kejeli alitutaka mashabiki wa Simba tuipe sapoti Yanga, lakini akaongeza tusipoipa watatushusha daraja msimu ujao.Hizi ni kauli za Ujuha na upumbavu uliokidhiri.
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mlimani Park (Sikinde) wakiwa wanawaimba Juwata Jazz Band.
Usikilize hapa

Huu wimbo ulitungwa na marehemu Joseph Mulenga akiwa Sikinde kwa mujibu wa Abdallah Gama ambaye pia wakati huo alikuwa Sikinde na ameshiriki katika wimbo huo akipiga gitaa la rhythim akihojiwa na Mtangazaji wa UFM Adam Zuberi, Mulenga alikuwa akimpiga kijembe aliyekuwa kiongozi wake marehemu Abel Balthazar.
 
Back
Top Bottom