Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Mashabiki ya TP Mazembe wakiongozwa na Papa Ndiku wa Ndikumana Nyboma wameshukuru sana kwa ushirikiano walioupata hapa nchini. Wanasema kwa kweli walijisikia kama wapo kwao Congo. Walipata kila walichotaka na kuwa wamecheza wakiwa wame tulia kabisa kama vile wapo kwao.
Wanasema wataendelea kuwasilianana marafiki zao wa Tanzania hata wakirud DRC Congo. Wamesisitiza mpira si uadui hivyo ukarimu waliouopata Tanzania ndiyo uliowawezesha kurudi kwao wakiwa na IUshindi ambao hawakuutegemea hasa kutokana na habari ambazo wamekuwa wakisoma kwenye magazeti kuhusu ubora wa Yanga. Msemaji huyo bwana Ndiku Nyboma Ngesema amesema kuwa wataendelea kuwasiliana na Watanzania hawa wakarimu