Baado ya droo kupangwa jana na timu ya Simba kupangwa na timu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbashi mimi mtoa mada nesikia mashabiki wa Simba wakiinadi timu hiyo ya DRC kama ni timu nyepesi eti watatoboa na kutinga nusu fainali, kwa maneno mengine teyari wameisha ifunga TP Mazembe.
Mimi mtazamo wangu ni kwamba hii timu ya DRC yenye maskani Lubumbashi kusini mwa DRC keribu na Zambia ndiyo timu itakayotoa ukweli kwamba Simba haikustahili hata kufikia hapo ilipofika , imefika tu kwa fluke ya home advantage.
Sisemi kidkiteta nina sababu kadha wa kadha za kiufundi. Nazo ni kama ifuatavyo;-
1. Ni nani shabiki wa Simba atanibishia kwamba katika ligi ya hizo timu nne ni Simba pekee haikuweza kufunga goli ugenini
2. Ni nani atasita kustaajabu ni timu ya Simba imetinga robo fainali ikiwa ni timu iliyofungwa goli 13, hii ina maana gani, inamana ilichotegemea ni home advantage tu . lakini ingekuwa Head to head kama hatua inayofuata inamaana Simba ingefurushwa na VITA kwa kufungwa 5 na zidi ya 2 nyumbani au AL-aHLY 5 zidi ya 1 nyumbani.
3. Hatua inayofuata TP Mazembe wanaanzia ugenini, ina maana Simba hawajui wawafunge Mazembe magoli mangapi ili wasonge mbele tofauti na hatua iliyopita ambapo walikua wanajua waifunge VITA Club magoli mangapi ili wasonge mbele, hii ina maana gani ni TP MAZEMBE ambao ni wazoefu wa kufika hatua hizi ndo watakuwa wanajua waifunge Simba mangapi ili wasonge mbele.
4. Mpaka hatua ilipofikia Timu ya Simba haijaweza kupata ushindi ugenini, JE! hivi tutegemee hatua hii ndo wataanza kushinda ugenini? wacha kupata droo?
5. Woo eti Vita imeifunga TP MAZEMBE mabao 5 kwenye ligi yao ya nyumbani, kwani Simba iliifunga VITA mabao mangapi nyumbani kwao VITA.
6. Mpaka kufikia hatua hii ni TP Mazembe imefunga mabao mengi nyumbani na ugenini kuliko timu zote makundi yote mawili hivi Simba ina nini cha mno isifungwe mabao mengi ikiwa ndiyo timi ilyofungwa mabao mengi kuliko zote makundi yote hadi kufia hatua hii?
Kwa hiyo ninawaambie Simba kwa hatua inayofuata nina uhakika wa 100 kwa 100 ndo mtapewa aksante kushiriki, sijawahi kukosea hesabu zangu labda hii iwe ni mala ya kwanza