Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,051
- 653
TIMU YA TP MAZEMBE LEO IMEFUNGWA MAGOLI 3 -0 NA TIMU YA INTER MILAN YA ITALY KATIKA KOMBE LA BIGWA WA VILABU DUNIANI. HATA HIVYO HAIKUWA KAZI DOGO KWA INTER KUSHINDA MECHI HIYO BASI TUNAKILA SABABU YA KUIPONGEZA TP MAZEMBE
TIMU ILIYOONESHA UWEZO MKUBWA IKITOKEA CONGO.
HILI LIWE CHACHU KWA TIMU ZETU ZA TANZANIA KAMA SIMBA NA YANGA KWA KUACHA MAJUNGU NA MIGOGORO NA KUANDAA TIMU KWAAJILI YA KUSAKA USHINDI