Tp mazembe hongereni kwa kupigana kiume

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
3240558531.jpg

TIMU YA TP MAZEMBE LEO IMEFUNGWA MAGOLI 3 -0 NA TIMU YA INTER MILAN YA ITALY KATIKA KOMBE LA BIGWA WA VILABU DUNIANI. HATA HIVYO HAIKUWA KAZI DOGO KWA INTER KUSHINDA MECHI HIYO BASI TUNAKILA SABABU YA KUIPONGEZA TP MAZEMBE
TIMU ILIYOONESHA UWEZO MKUBWA IKITOKEA CONGO.
mazembbbbe-articleInline.jpg

TP-Mazembe.jpg

HILI LIWE CHACHU KWA TIMU ZETU ZA TANZANIA KAMA SIMBA NA YANGA KWA KUACHA MAJUNGU NA MIGOGORO NA KUANDAA TIMU KWAAJILI YA KUSAKA USHINDI
 
Ingawa game walikuwa wamelegea sana kwenye defence -pressure?Lakini kwa mara nyingine tena wameamsha soka la Afrika.I am sure ingawa tunaenda polepole in ten years time, pamoja na umasikini wetu tutachukua makombe.Kumbuka mwaka jana Ghana ilishinda under21 world cup, nchi ya kwanza afrika kufanya hivyo. It is just a matter of time!!!!
 
kuna story inayomuhusu Baunsa mmoja ambaye watoto wa kihuni walimkaba na kisha wakamnanihii.

Kisha alipotoka hapo akaropoka kwa sauti kubwa isiyo na woga wala mikwaruzo...''wameninanihii lakini kwa mbinde kweli''.

Sasa ndio hao wakongo wenu.
Wamekula Thalatha ''3'' halafu mnawasifu.
 
ha aha ha aha aha kaka lakini walijitahidi lazima tuwapongeze kwa hatua waliyofikia huo ni mwanzo tu
 
Gang tuwapongeze tu ila hiyo story yako nimecheka sana!
 
Back
Top Bottom