Tozo zimezidi na hawajali baada ya bungeni kujaa CCM

Anaekutumia 50,000 anakatwa 2,770
Anaetoa 50,000 anakatwa 4,750

Jumla makato ni 7,520

(Serikali inachukua 4,100 na tigo 3,420)

Ref: tigopesa
Mkuu inaumiza sana ,kwa mwananchi wa maisha ya chini
 
Haa siku ambayo CCM walishajali, hata kama wapinzani wamejaa bungeni. Wanapiga kelele, baadaye yule kiumbe anawauliza waseme NDIYOOOOO!
Unaongea kwa kejeli ila hiyo Kodi unakatwa pia ila ujaifanya lodi lofa
 
Back
Top Bottom