TOZO ZA ZIMAMOTO

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Katika Hotuba ya Mhe.Waziri wa Fedha na Mipango 2015/16 tozo za Zima Moto kwa Wananchi kama Mahoteli, Guest houses na majumbani zilifutwa. Kinachotakiwa kwa kila Mwananchi kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kupewa elimu na Ofisi za Zima Moto na kununua vifaa vya Zima Moto ili kujiinga na athari za majanga ya moto.
 
Back
Top Bottom