Tozo za parking zapunguzwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Hatimae baada ya kelele kila kona na wizi wa kupeana risit zisizo za maashine

Sasa leo ile bango la kulipa sh 500 kwa saa limeondolewa na sasa wananchi watalipa bei zile zile za zamani

Sihivyo tuu kuanzia kesho asbh usipopewa risiti ya mashine usilipe ondoka

Meya ameamuru hiyo kampuni kumwaga mashine za risiti kila kona huku akiwaomba watanzania wasikubali kulipa pesa kama hawajapewa mashine za risiti.

Chanzo: ITV
Wazo langu

Hizo maashine nazo hawawezi kuchakachua mkuu??
 
Tulipe 1,000/= kwa saa ili kupunguza screpa mjini
Mkuu pale Uhamiaji Kurasini makao makuu ndio bei yake hiyo Buku nilikuta risiti ikanibidi nikimbie maana nilijua ni wizi uliotukuka... Pale Masaki ni mia tatu bei ile ile ya kale iweje Wilaya ya Temeke and then polini kule iwe 1000 na tena hakuna sehemu iliyoandikwa hapa ni parking za jiji wiwi wizi wizi nitawakwepa kila nipatapo nafasi
 
e7d721c3b49c7e7b7d3fe580e24be347.jpg

Hawa wakenya mbona walinitoza 500... Punguzo linaanza lini?
 
Kenya Airports Parking Services LTD. ..... .... ... Kazi kubwa!
 
Juzi nimewekewa zile za kawaida Nikasepa zangu tu ila sikuona aliyenifata... maana nilikumbuka Huu Uzi
 
Hatimae baada ya kelele kila kona na wizi wa kupeana risit zisizo za maashine

Sasa leo ile bango la kulipa sh 500 kwa saa limeondolewa na sasa wananchi watalipa bei zile zile za zamani

Sihivyo tuu kuanzia kesho asbh usipopewa risiti ya mashine usilipe ondoka

Meya ameamuru hiyo kampuni kumwaga mashine za risiti kila kona huku akiwaomba watanzania wasikubali kulipa pesa kama hawajapewa mashine za risiti.

Chanzo: ITV
Wazo langu

Hizo maashine nazo hawawezi kuchakachua mkuu??
Gud one
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom