Tozo za Nyumba kwenye LUKU zinaanza lini?

Kuweni watulivu tunalishughulikia hilo suala
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dawa ya shida ni kuizoea tu au kuikabili iondoke, Sasa hili la matozo ya Serikali yetu sikivu haitaondoka, tuizoee tu.

Je, na LUKU wanaanza kukata lini ili tuzoeee na kukoma kabisa?
Nakubaliana na wewe, ngoja ngoja huumiza tumbo!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom