CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
- Thread starter
- #121
Muasisi wa tozo katika ubora wake
Mungu amfanyie wepesi apone harakaMuasisi wa tozo katika ubora wakeView attachment 1878413
Tunaweza kupata zaidi ya Shilingi 1.6trilioni,Itakuwa ni faida sana kwa maendeleo ya watoto wa masikini,Ili arudi bungeni akabuni tozo nyingine
Zimefutwa lini!!?Nadhani hii thread ingefutwa tu sababu hata tozo zenyewe zimefutwa. Huu upupu hauna ishu
Hawa watu wanatuchelewesha sana yaani,Zimefutwa lini!!?
Huyu mama anahesabu kali sana huenda akavunja rekodi kwa ujenzi wa miundombini ya maendeleo kwa wananchi.
Japo makato yanauma ila kama mambo ni haya niko tayari.
Jana serikali imepata mkopo wa tr 2.1 kwa ajili ya maendeleo (elimu n.k) kutoka WB, hizo hela wanakopa zanini kama kuna tozo?Leo nimemsikia waziri wa fedha anasema kwa wiki nne pekee tumekusanya Tsh 48.4BL yaani nisawa na Tsh 576BL kwa mwaka kama mambo yatabaki kama yalivyo,
Nasisitiza tozo iendelee
Watz wengine bhana naona hamjielewi.Tunaweza kupata zaidi ya Shilingi 1.6trilioni,Itakuwa ni faida sana kwa maendeleo ya watoto wa masikini,
Tanzania ya Samia ni noma,
Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
Bado Watanzania tunahitaji kumwomba Mungu alisaidie Taifa letu!
Viva Samia VivaClick to expand...
Safi Sana Rais Samia
Viva Samia VivaClick to expand...
Ufafanuzi walau unapunguza hasira, kama mambo ni haya mimi wakate tuuuuuu kwanza pesa yenyewe Sin