Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,792
- 4,448
Watumiaji wa simu nchini wataanza kutozwa tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio kuanzia Agosti 2021. Tozo hiyo ya kati ya TZS 10 hadi 200, kulingana na uwezo wa kuongeza salio la muda wa maongezi, itaiwezesha serikali kukusanya TZS bilioni 396.3 kwa mwaka huu wa fedha.