Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

Hii maana yake ukienda kwenye ATM unakatwa 5900 na hii kadi ndio tunatumia sisi wananchi wa kawaida.

Au hii ni gharama ya kutengenezewa kadi?
Ni kweli mkuu, hii ni gharama ya mara moja ya kupata ATM card mpya. Na ni kwamba imepunguzwa kutoka shs 11,800 hadi shs 5,900.
 
Hela yetu wenyewe wateja, benki inazitumia kukopesha watu kwa riba za kila aina ya mikopo mbalimbali, wanatoza overdraft n.k lakini hawaridhiki sasa benki inavamia kiasi kidogo cha akiba ya wateja wavuja jasho waliofungua akaunti !
 
Dah😢😢😢..
Hapa nimeruka ghafla kuhakiki card yangu neno TANZANITE DEBIT likanirukia usoni. Hakuna namna wacha watuue tu kwa stress😥😥😥😥
Tanzanite master card ndo , atm card ya chini kabisa kwa nmb,
Kama gharama zake zimepanda basi zile black card na silver card zitakuwa balaa
 
Hela yetu wenyewe wateja, benki inazitumia kukopesha watu kwa riba za kila aina ya mikopo mbalimbali, wanatoza overdraft n.k lakini hawaridhiki sasa benki inavamia kiasi kidogo cha akiba ya wateja wavuja jasho waliofungua akaunti !
Uwezi amini hawa mbwa CRDB mkuu niliweka pesa yangu nikakuta wamekata 20000 sasa nikajiuliza inamaana ada ya 1880 sijui ndio wakate 20000 mbona wanatufanyia hivi? Vibubu vitanihusu bora nikae na pesa nyumbani tu.
 
Hii ni ya kupata kadi na ada ya kadi kwa mwaka, kwani kabla gharama zilikuaje je zimeongezeka au kupungua? Maana lengo lako ni kulaumu na sio tozo ni ADA
hilo la kulaumu umenipakazia tu , maswali yako mengine sitayajibu ila nakuachia wewe ufanye uchunguzi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom