Which international bank is convenient for receiving&sending money abroad? I need to open an account.Tunakimbilia international bank
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Which international bank is convenient for receiving&sending money abroad? I need to open an account.Tunakimbilia international bank
Stanbic bank, absabank, standardWhich international bank is convenient for receiving&sending money abroad? I need to open an account.
Ni kweli mkuu, hii ni gharama ya mara moja ya kupata ATM card mpya. Na ni kwamba imepunguzwa kutoka shs 11,800 hadi shs 5,900.Hii maana yake ukienda kwenye ATM unakatwa 5900 na hii kadi ndio tunatumia sisi wananchi wa kawaida.
Au hii ni gharama ya kutengenezewa kadi?
Mmhhhh....
Kadi za ATM kwani zinaitwaje ?Mmhhhh....
Hizo kadi ndo zikoje!?? Em tuwekeeni hapa
Zenye rangi ya blue...TanzaniteMmhhhh....
Hizo kadi ndo zikoje!?? Em tuwekeeni hapa
Ohooo!!Zenye rangi ya blue...Tanzanite
Tanzanite master card ndo , atm card ya chini kabisa kwa nmb,Dah😢😢😢..
Hapa nimeruka ghafla kuhakiki card yangu neno TANZANITE DEBIT likanirukia usoni. Hakuna namna wacha watuue tu kwa stress😥😥😥😥
Uwezi amini hawa mbwa CRDB mkuu niliweka pesa yangu nikakuta wamekata 20000 sasa nikajiuliza inamaana ada ya 1880 sijui ndio wakate 20000 mbona wanatufanyia hivi? Vibubu vitanihusu bora nikae na pesa nyumbani tu.Hela yetu wenyewe wateja, benki inazitumia kukopesha watu kwa riba za kila aina ya mikopo mbalimbali, wanatoza overdraft n.k lakini hawaridhiki sasa benki inavamia kiasi kidogo cha akiba ya wateja wavuja jasho waliofungua akaunti !
Dah...tutaisoma namba...Tanzanite master card ndo , atm card ya chini kabisa kwa nmb,
Kama gharama zake zimepanda basi zile black card na silver card zitakuwa balaa
ATM CARD! 🙄Kadi za ATM kwani zinaitwaje ?
Chukua kadi yako isome utajua inaitwajeATM CARD! 🙄
Hii ni ya kupata kadi na ada ya kadi kwa mwaka, kwani kabla gharama zilikuaje je zimeongezeka au kupungua? Maana lengo lako ni kulaumu na sio tozo ni ADA
hilo la kulaumu umenipakazia tu , maswali yako mengine sitayajibu ila nakuachia wewe ufanye uchunguziHii ni ya kupata kadi na ada ya kadi kwa mwaka, kwani kabla gharama zilikuaje je zimeongezeka au kupungua? Maana lengo lako ni kulaumu na sio tozo ni ADA