Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,643
- 218,099
Nimeona mahali tangazo lao kuhusiana na jambo hili , hebu lisome mwenyewe
Ni kweliNi kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard
Aisee..Ni kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard
Hazitaanza tarehe hiyo au hazipo ?Umekurupuka!
Hizo ni ada siyo tozo, punguza mbege!Hazitaanza tarehe hiyo au hazipo ?
Ni kwa Tanzania Debit Master Card.
Hela ina jina jipya kila mahali , kanisani inaitwa sadakaHizo ni ada siyo tozo, punguza mbege!
Ni gharama za kutengenezewa kadi.Hii maana yake ukienda kwenye ATM unakatwa 5900 na hii kadi ndio tunatumia sisi wananchi wa kawaida.
Au hii ni gharama ya kutengenezewa kadi?
Hizi benki zituonee huruma.Alielewa ,ufafanuzi tafadhariView attachment 1903155
Mweeeh! Kweli sisiem ni ile ile.
Dah😢😢😢..