Tozo, makato makubwa na charges za mabenki zimeendelea kuongezeka bila taarifa rasmi kwa watumiaji

Others

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,190
2,728
Habari za Mchana "Wajumbe".

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Hili jambo sasa limeshakua kero na ni Mtambuka kwetu wengi nami naona limenyamaziwa kimya huku wengine wakiumia na wengine kufaidika maradufu kutokana na mwenendo wa mambo yanavyokwenda na wakati wenyewe.

Mimi ni mtu wa Mahesabu sana na nimekua kwenye Biashara muda mrefu kidogo. In-fact ni mtu wa details sana hasa ukizingatia shughuli zangu zinahusu sana masuala ya Fedha na Ukaguzi.

Mara kwa mara, nimekua nikifanya Miamala mbalimbali ya Kifedha na kila baada ya Muamala flani lazima nijiridhishe kwa kuhakikisha Makato ya Taasisi husika, Balance, Kodi ya Serikali na upukupuku mwingine wowote yaani sipitwi na nikionaga sielewi naombaga hata statement sio kwa Benki tu hata Miamala ya simu wananipa tunaeleweshana na kuwekana sawa.

Katika harakati hizo nimegundua kwanza niko tofauti na watu wengi sana na pia wengi wanapigwa kwasababu ya kutokuuliza, kuogopa au kuhofia kupoteza muda huku wakidhani yale makubalino walioingia na kusaini (Terms & Conditions) katika Taasisi mbalimbali za Kifedha: Mabenki, Makampuni ya Simu, Taasisi za Mikopo, Vikoba na Mengineyo basi yanazingatiwa kumbe Mchezo ni mkubwa sana na Game bado ngumu kwasababu fedha yako ndiyo ulaji wao wote kila mtu anaitaka na sio fedha ya taasisi au ya serikali inayoliwa ila ni ya kwako tena ina megwa kidogo sana hata huwezi kuhisi wala kuskia ila ndiyo inakua imeshaenda hiyo tena ukicheza unajikuta ni wewe mwenyewe ndiyo umeruhusu itoke na iende huko bila kujua.

Kwanini nasema yote haya? Kwasababu zifuatazo: Ukiwa mfuatiliaji utagombana na watu na hata ukigundua umepigwa utalipwa fidia kimya kimya ili 'Mambo' yasiwe mengi au kufika mbali. Ndiyo maana ni nadra sana kuskia Benki zenye Majina na Taasisi kubwa kubwa zikiburuzana mahakamani na wateja wao kwasababu ya FRAUD. Wanakuaga wakwanza kutupa Taulo na kuuza Ng'ombe kwa kesi ya Kuku huku wakiwasingizia eti ni makosa ya system au Teller alikosea mahesabu. Mfyuu eti kompyuta inakosea.

Namshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa Elimu yangu: Angalu nimepita NBAA, UDSM & BOT. I know how Finance Systems Works and hate the way they exploits.

Jana nlipita katika ATM moja... Ngoja kwanza. Tangu Mafuta yamepanda Akili yangu ilicheza nikawa sensitive sana na every financial details sasa kwakua nafanya Miamala daily nikasema kuna watu wataingia mkenge tu. Sasa jana katika hiyo ATM ambayo ipo nje ya Makao Makuu ya Benki hiyo Kubwa tu ya Kijani ambapo karibu wengi wetu tuishio Dar na Nje tuna Akaunti hapo.

Nikiwa hapo nikatoa 600k ya kula Sikukuu kwa mkupuo mmoja, ikatoka kisha nikasubiria risiti ikatoka na huku ikiniambia vitu sivielewi. Aisee!! Nikawapigia simu tukabonga kidogo wakasema wanalifanyia kazi inshu ilikua ni Makato kuwa makubwa kupitiliza na inaonekana mimi kwa muamala ule wamenikata kinyume na utaratibu wa kawaida wa makubaliano; yaani wamenikata kulingana na kiwango nlichotoa kwa kupiga kwa Asilimia. Nikajiambia isingekua Public Holiday ningetolea ndani kwa maana Makato ya ndani ni makubwa lakini hayawezi kuzidi ya ATM sasa jana ya kwangu kwa Muamala huo mmoja tu yalizidi ya ndani.

Sasa nasubiria Sikukuu ipite, tukakae mezani tueleweshane vizuri.

Naomba tuwe makini wajameni ni kwa faida yako binafsi.

Naomba kuwasilisha.

-5906626131870725863_121.jpg
 
Naomba kuwasilisha.View attachment 2189537
Vitu vyote vinapanda bei lakini sisi mishahara iko palepale

Naomba nitafutiwe mji wa kwenda

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Makato hayazidi 1400/=. Weka risiti hapa tuone
 
Back
Top Bottom