Toyoya Super Custom Vs Noah

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Naombeni msaada kuhusu tofauti kati ya hizi gari mbili....Nilikua nataka kununua hio Noah lakini kuna chali kaniambia custom ni bora.

Mawazo yenu tafadhali...
 
Nunua Noah,super custom zina turbo kwa hiyo ulaji wake wa mafuta ni mkubwa kuliko wa Noah.
 
Naombeni msaada kuhusu tofauti kati ya hizi gari mbili....Nilikua nataka kununua hio Noah lakini kuna chali kaniambia custom ni bora.
Mawazo yenu tafadhali...
Toyoya Super Custom niyakichina mkuu achana nayo Kanunue Noah!!!!!!
 
Naombeni msaada kuhusu tofauti kati ya hizi gari mbili....Nilikua nataka kununua hio Noah lakini kuna chali kaniambia custom ni bora.

Mawazo yenu tafadhali...
Heading sijakusoma hii Toyoyo siyakichina kweli?
 
inategemea na wasaa mzee. noah ni gari ya kisasa nzuri uwezo wake mkubwa ila tatizo ni bodi. ukipigwa pasi mlangoni inabidi utafute mlango mwengine tu haina kupiga rangi mzee. hiyo inafanya maintanence kw a upande wa body ni tatizo kubwa. super costom mimi sijaona tatizo lake ila huwezi kupata matoleo mapya ni ya zamani ila ni gari bomba sana. kuhusu matumizi ya mafuta si ya kutisha sana ni kawaida tu kwani hata hiyo turbo si lazima uitumie. we angalia tu burner! mi sijui
 
ujui tena Ze Burner? Asante kwa mchanga wako...ila hio Custom hata ikiwa ya mwaka '97 ni bei juu kwa nini??
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom