TOYOTA Voxy inauzwa fasta

Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,900
687
Make: Toyota
Model: Voxy (Noah)
Colour: Golden
Engine Capacity: 1990
Fuel Used: Petrol
Year of Manufacture: 2004
Imported from Japan: 13[SUP]th[/SUP] September 2013
First Registration: 16[SUP]th[/SUP] September 2013
ODO: 104,442

Bei Tshs. 16,000,000/=

Gari haijawahi kwenda nje ya DSM na haina mikwaruzo wala matatizo yoyote kwenye engine yake.

Nahitaji serious buyers tu wanitumie SMS kwenye 0717188257 nami nitawapigia. SIHITAJI MADALALI.

Sijui jinsi ya kupost picha JF, ningewawekea mapichaz.
 
Nawakumbusha wakuu biashara bado iko sokoni ila bei imeshuka mpaka 13mil.
 
Hizi gari bana zina very complicated sensors, Matatizo kwa mafundi wetu wa chini ya mti.
 
Mkuu yani in less than a months 3m zimetolewa, unatia mashaka na quality ya gari lako

Mkuu wakina Tomaso tuko wengi duniani. Mashaka yanaondoka kwa kukiona kitu. Naweza kukutumia picha wasap au kwa email yako au unaweza kuiona gari na kuikagua na fundi wako kama uko Dar na uko interested nayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom