Toyota vitz Rs

Inaonekana humu watu wanadharau hizi gari ndogo ndogo ndo maana wanapotezea kuandika chochote kuhusu vitz Rs
 
Vits gari nzuri sana kwanza ni economy sana katika mafuta pili ni gari ambayo kimtazamo ni ndogo sana lakin ndani inakijinafasi kizuri tu na hata maintanace yakd si garama kubwa vilevile haina shida ya parking miji mikubwa kokote unaichomeka tu na kama una vits ipige rim sports size 14 inyanyue kidogo kwa nyuma weka spesor za nchi moja au moja kasoro mbele weka nusu inch kikweli inatulia na unaenda kokote ijali katika servise tu gari moja nzuri sana
 
Nimewahi sikia kwamba zinakuwaga na matatizo ya gear box, hivi linaukweli? Nawakilisha
 
Sizan huenda inatokana jinsi ulivoipata ulikotoka huko ndo kwenye matatizo minnimekaa nayo miaka minne sikuwah kubadili kitu ni kuingalia servise tu hadi naiuza bado nzima na ninaenda nayo kila mahala kwa sasa nimehamia kwenye ist nayo ipo vizuri sana maana mi binafsi napenda gari economy na hazina matatizo ya parking kiukweli
 
Inaweza kusukuma ngapi km per liter?
 
Mimi natumia vitz , gari inashukrani sana, haikupi pressure katika ulaji wa mafuta, na ni vvt-i engine, nunua vits ila iwe haijatumika sana, uta enjoy
 
Wanaponda na unaweza kuta wao wanamiliki pikipiki huoniao au wanamiliki baiskeli chopa kujidai wanafanyia mazoezi au wanajidai wamenunua pikipiki kukwepa folen dar kumbe ndo usafir wao
 
Vitz rs ni tofauti hizo vits nyingine na ina cc kubwa ni 1300 sio 990 ni nzuri hata safari inaweza
 
Back
Top Bottom