Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,102
- 8,088
Wasalaam wanajukwaa.
Hizi gari (Toyota Urban Cruiser na Toyota IST new model ya kuanzia mwaka 2008), naona kama zinafanana sana kuanzia muundo na interior, ila cha ajabu hiyo Urban Cruiser ina bei ya juu zaidi karibia mara mbili ya bei ya hiyo nyingine.
Na kwa hizi kampuni za kuagiza magari hapa Tanzania (Bforward Tz au SBT Tz), hiyo Toyota Urban Cruiser haipatikani !
Je, hizi gari ni models tofauti?
Toyota Urban Cruiser:
Toyota IST:
-Kaveli