Toyota spacio inauzwa bei chee!!

Lung'wecha

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
927
574
Namba DEE
Mwaka 2003
Engine size ni cc 1,490
Ipo kwny hali nzuri, inatembea, tairi mpya radio, seat cover n.k
Bima mpya
Engine kavu, Imetunzwa sana!
Location: Udsm/Ubungo
Call/WhasApp 0764875468 au 0655744410
Bei ni 8.7m (mazungumzo yapo)
Picha zaidi na maelezo, njoo Pm
IMG-20190625-WA0017.jpeg
IMG-20190626-WA0037.jpeg
IMG-20190625-WA0011.jpeg
 
Onyesha hizo taa za mbele na tire treads plus seats. Radio siyo selling point labda ungesema ina DVD. Stereo yenyewe hata haina USB support hadi umebandika hako ka FM transmitter
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom