Yaani umefungua leo akaunti,na leo leo umeanza matatizo?na hamna hata salamu?..njoo kwa kutuliaGari yangu ni Toyota Raum, ningependa kujua kama zinatumia oxygen sensor, kama ndio zinakuwa sehemu gani?
Umefunga uzi.Ndio inatumia.
Ipo chini, kabla au baada ya catalytic converter, itategemea umeanzia kukagua nyuma au from mbele.
View attachment 1805844
Hivi mtaalam kazi ya hii oxygen sensor ni nini?? Ina umuhimu gani kwenye Gari?? Ikiharibika au kufa Gari litapata athari zipi?Ndio inatumia.
Ipo chini, kabla au baada ya catalytic converter, itategemea umeanzia kukagua nyuma au from mbele.
View attachment 1805844
Kazi ya oxygen sensor ni nini mkuu?Ndio inatumia.
Ipo chini, kabla au baada ya catalytic converter, itategemea umeanzia kukagua nyuma au from mbele.
View attachment 1805844
🤣🤣🤣Hivi mtaalam kazi ya hii oxygen sensor ni nini?? Ina umuhimu gani kwenye Gari?? Ikiharibika au kufa Gari litapata athari zipi?
Gari yangu ni Toyota Raum, ningependa kujua kama zinatumia oxygen sensor, kama ndio zinakuwa sehemu gani?
Hivi mtaalam kazi ya hii oxygen sensor ni nini?? Ina umuhimu gani kwenye Gari?? Ikiharibika au kufa Gari litapata athari zipi?
Asante sana mkuuOxygen sensor zipo za aina mbili kwenye gari. Kuna upstream na downstream hata ufanyaji wake kazi haufanani.
Upstream inaregulate supply ya mafuta wakati downstream inaangalia ufanyaji kazi wa catalytic converter.
Ubarikiwe nimeelimika. Maana Kuna tatizo Hilo nimelipata.
Eti mtaalam.
Ili "combustion" itokee humo ndani ya engine, "oxygen" lazima "imixiwe" na mafuta. Kama ulivosoma Form IV "Hydrocarbon, Combustion Reaction".
Sasa hiyo "Oxygen Sensor" inapima/inaangalia kiwango cha oxygen iliyopelekwa kwenye iyo "reaction" na kumuambia "Car computer" kama ipo kiasi kidogo au kingi zaidi ya kinachohitajika.
Inapimaje, kwa kuangalia ule moshi au "byproduct" ya huo mlipuko ndio maana unaona ipo kwenye catalytic converter karibu na exhaust pipe.
Ikiwa inasoma vibaya (ikiharibika) inamaana gari hlitakua na kiwango sahihi cha oxygen na utaona Accerelation imekua poor, "shaking na stalling" pia.
Ila unaweza endesha gari fresh tu bila iyo sensor, sema unaweza jikuta unatumia mafuta mengi zaidi, pia utaua catalytc converter.
Msamaha hatujakubali. Tuite Bar tunywe tukikufikiria namna ya kukuwajibishaAhsanteni sana kwa coments, pia samahani sana kwa kutuma tatizo bila kusalimia ikiwa ni memba mpya pamoja na kua mfuatiliaji sana wa huu mtandao- tuko pamoja
Wale wezi wa catalytc converter uwa wanaiacha kweli oxygeny sensor mkuu!?🤣🤣🤣
Eti mtaalam.
Ili "combustion" itokee humo ndani ya engine, "oxygen" lazima "imixiwe" na mafuta. Kama ulivosoma Form IV "Hydrocarbon, Combustion Reaction".
Sasa hiyo "Oxygen Sensor" inapima/inaangalia kiwango cha oxygen iliyopelekwa kwenye iyo "reaction" na kumuambia "Car computer" kama ipo kiasi kidogo au kingi zaidi ya kinachohitajika.
Inapimaje, kwa kuangalia ule moshi au "byproduct" ya huo mlipuko ndio maana unaona ipo kwenye catalytic converter karibu na exhaust pipe.
Ikiwa inasoma vibaya (ikiharibika) inamaana gari hlitakua na kiwango sahihi cha oxygen na utaona Accerelation imekua poor, "shaking na stalling" pia.
Ila unaweza endesha gari fresh tu bila iyo sensor, sema unaweza jikuta unatumia mafuta mengi zaidi, pia utaua catalytc converter.
Hhhh, chagua tu baa yyt kunywa nitalipaMsamaha hatujakubali. Tuite Bar tunywe tukikufikiria namna ya kukuwajibisha