Toyota Raum, Allex na Runx na IST

mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,379
2,000
Habari bandugu.

Naomba kwa wataalam na wajuzi waliobobea kwenye aina za magari tajwa hapo juu nipate ushauri kutoka kwenu kabla ya kufanya maamuzi binafsi maana naamini kipato changu ni katika kumudu aina hizo tajwa.

Ushauri katika ubora, uimara na comfortability ya hizo gari kwa kulinganisha.

Sio vibaya pia nikiongeza na Toyota Spacio kwenye orodha.

Pia tofauti kati ya IST ccc 1290 na 1450 cc.

Sina mengi, naomba msaada wenu.
 
antipas

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
405
500
740bedde-cb61-4d0b-a951-4d3671cfccf3.jpg
775924d7-af60-43db-83f4-ccb902f7f6e0.jpg
6683368d-e4c1-4720-bcfb-e35ae333a56e.jpg
njoo nikuuzie hii kwa 8m call 0652472486

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,379
2,000
Ahsante mkuu kwa kunisogiza hatua mbele.
Kabla ya kununua ningependa kusikia abcs za ubora wa magari niliyoainisha hapo juu.

Baada ya kukusanya taarifa za wadau kuhusu kipengele cha ubora,uimara,affordability na mengineyo ndio nami nichanganye na za kwangu.

All in all yawezekana ukawa mdau muhimu kwangu sikuchache zijazo

Ubarikiwe
View attachment 1348554 View attachment 1348555 View attachment 1348556 njoo nikuuzie hii kwa 8m call 0652472486

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guest321

Member
May 16, 2011
20
45
mathabane,
Mkuu, nina uzoefu wa IST, Spacio, Runx/Allex. Nakushauri ununue Runx au Allex. Kwanza hakuna tofauti kati ya Allex na Runx. Ni majina tu lakini injini na body na options kwenye zote sawa.

Ni vizuri uchukue injini ya 1496cc kwa sababu ina nguvu kuliko 1290cc lakini pia unywaji wake wa mafuta ni mzuri. Injini ya 1496cc inakupa wastani wa kilometa 10 kwa lita ya petrol wakati 1290cc inakupa wastani wa kilometa 12 kwa lita. Ila cc1496 ina nguvu zaidi kuliko 1290cc.

Kama unataka gari ya kuifanyia biashara kama Uber au Taxify basi chukua IST ya 1290cc
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,595
2,000
Runx na allex zimetofautiana Kwenye nafasi ya ndani na speed,kama mtu wa mbio runx inachanganya mapema zaidi ya allex lakini nafasi yake ndani ni ndogo tofauti na allex ambayo kuna nafasi kubwa hata Kwa family itakufaa zaidi.
Kama mtu wa Safari ndefu chukua runx ya CC 1790(runx S) hii Ngoma utaenjoy Sana safarini pia kama wewe mtu WA mjini Kwa Sana fanya maaumizi Kwenye runx au allex
 
antipas

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
405
500
Ahsante mkuu kwa kunisogiza hatua mbele.
Kabla ya kununua ningependa kusikia abcs za ubora wa magari niliyoainisha hapo juu.

Baada ya kukusanya taarifa za wadau kuhusu kipengele cha ubora,uimara,affordability na mengineyo ndio nami nichanganye na za kwangu.

All in all yawezekana ukawa mdau muhimu kwangu sikuchache zijazo

Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app

kama uko dar mm nina allex runx na vits naweza kukupa offer ya kutest zote
hutajuta kwa runx
kama huendesj uber kikawaida runx ina perfomance ya ajab na inakimbia mnooo
kwa safar ndefu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,379
2,000
Shukrani sana chief
mathabane,
Mkuu, nina uzoefu wa IST, Spacio, Runx/Allex. Nakushauri ununue Runx au Allex. Kwanza hakuna tofauti kati ya Allex na Runx. Ni majina tu lakini injini na body na options kwenye zote sawa.

Ni vizuri uchukue injini ya 1496cc kwa sababu ina nguvu kuliko 1290cc lakini pia unywaji wake wa mafuta ni mzuri. Injini ya 1496cc inakupa wastani wa kilometa 10 kwa lita ya petrol wakati 1290cc inakupa wastani wa kilometa 12 kwa lita. Ila cc1496 ina nguvu zaidi kuliko 1290cc.

Kama unataka gari ya kuifanyia biashara kama Uber au Taxify basi chukua IST ya 1290cc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom