Toyota Raum 2005 inachelewa kuchanganya.

Kitrack

Member
Dec 11, 2011
50
16
habari za majukumu,
hii gari yangu nimebadili oil pump,nimesafisha nozzle,service nafanya kwa wakati,lakini gari imekuwa nzito sana ukianza kuondoka,au ukifunga breki na kuanza kuondoka gari haikimbii hadi baada ya distance ndefu ndio inakubali. Huwa inakuwa kama inashtuka hivi ikianza kuchanganya.
Naomba msaada wenu wa kiufundi na uzoefu nipate kutatua hili tatizo.
 
Oil pump mbn kama ilikuwa haiusiki hapo mkuu....ila kwa ushauri wangu check na fundi wa service mfano Mimi akucheck gearbox oil na kuifanyia service valve chess
 
Nilikua na tatizo kama lako. Hapo vitu ni viwili tu.
1. ATF weka Type IV
2. Plugs.

Kesho acceleration 1-100kph under 10 sec.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom