Toyota probox inahitajika

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,146
4,053
MwenyeToyota probox iliyo kwenye hali nzuri
2017-11-16-17-40-57--2011630791.jpeg
 
Ipo chsses # blue metalic Inauzwa 11m
Ipo nyingine Inauzwa 9.7 rangi nyeupe zote ziko dar
Naku pm # yngu Kama mtakaji wa moto afanye azione

Ova
 
Ipo chsses # blue metalic Inauzwa 11m
Ipo nyingine Inauzwa 9.7 rangi nyeupe zote ziko dar
Naku pm # yngu Kama mtakaji wa moto afanye azione

Ova
Ok, nimeiona PM yako nitakutafuta ila hizo bei mbona ni za probox mpya kabisa!?
 
MwenyeToyota probox iliyo kwenye hali nzuri
View attachment 631779
Habari. Mimi nina Probox na iko nzuri sana. Nimeinunua ikiwa na 38000km, kwa sasa ina 42000km. Nimesafiri nayo kwenda na kurudi kurudi Mrogoro, Dodoma, mara 2 bila tatizo na ni kwa matumizi ya familia siyo biashara. Gari ni zima kabisa. Kwetu TZ ni kama jipya. Kuna vitu kama viwili utatakiwa kubadilisha nadhani baada ya mwaka. Kama bado unahitaji tunaweza kuongea. Ila kama wachangiaji wengine walivyokueleza bei za Probox ndo hizo walizokutajia kama unataka gari zuri.
 
Back
Top Bottom