Mil 7 Kampe babaako mbwa weeKwakuwa haina rim nakupa mili. Saba mkuu
Mkuu usimkosee baba yake kiasi hicho member wengi humu ni wavulanaMil 7 Kampe babaako mbwa wee
Dah nilikuwa naheshim michango yako humu lakini kumbe huna lugha za staha!!Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Mkuu mbona povu wakati gari Sio yako na wewe sio muuzaji?Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Alieweka tangazo mwingine lakini povu lililokutokaaaa hatariiiiii. Au kuna smell multiple IDNIMETUKANA BAHATI MBAYA. NISAMEHENI PLZ. SITORUDIA TENA
UmesamehewaNIMETUKANA BAHATI MBAYA. NISAMEHENI PLZ. SITORUDIA TENA
Unamjua babake? Hebu kuwa na akili za busaraMil 7 Kampe babaako mbwa wee
Masaa 9 ambayo sijaingia jf, ndio imefikia mabadiliko hivi.....Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Alafu umeichunguza vizuri rim ni cover za wheecaps... Akuna rim za sports hapo, seat cover hakuna hapo... Alafu jamaa anajibu jeuri kiatu chenyewe unaweza kuta Akuna safari hapoKwakuwa haina rim nakupa mili. Saba mkuu
Mil 7 Kampe babaako mbwa wee
Mwenye kuomba msamaha SKU zote ana busara kwani hugundua weakness zake umesamehewa ,nimependa sanaaaNIMETUKANA BAHATI MBAYA. NISAMEHENI PLZ. SITORUDIA TENA
Hilo sio jibu la mtu aliyestaarabika kabisa maana kasema pesa aliyonayo kuwa ni mil 7 sasa kuitana mbwa na mara kapeleke kwa baba yake yanaingiaje hapa!ingekua busara kama ungemjibu tu kistaarabu kua pesa hiyo haitoshiMil 7 Kampe babaako mbwa wee
Balimi kaziniMil 7 Kampe babaako mbwa wee
Matusi ya mini na we si muuzajiMil 7 Kampe babaako mbwa wee