Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
nina milioni nane....ukkitaka hata sasa hivi.....
duh,...maskhara mengine haya lol
nina milioni nane....ukkitaka hata sasa hivi.....
we mrembo unachagua wakati mkono mfupi? au tuchangie!
Pajero GDI ndogo MKT price ni 8m

Poa sana kaka. Ila kwa kuwa ni vvti, hapo ni noma kwangu. gari zenye vvti ni noma kwa mafuta na hizi foleni za dar, naogopa kutumia cylinder sita kwenye wese kwa mwendo wa km 20 kwa saa. Kaka waambie watu ukweli kuhusu fuel consuption system ya hii gari ili wakinunua wawe na ufahamu kamili wa aina hii ya magari.

Kwa wadau wengine, kifupi ni kwamba haya magari ya vvt-i yanapokuwa kwenye spidi chini ya nadhani 120,000 km/kwa saa, huwa yanakula sana mafuta kwani cylinder zote sita huwa zinafanya kazi, na yanapokuwa kwenye mwendo kasi zaidi ya hapo ndipo yanapotumia mafuta kidogo kwa kuwa ndani ya mwendo huo, ni cylinder nne tu zinazokuwa kazini. Kifupi ni kwamba kwa masafa mafupi, hii gari utaichukia sana, kwani itakupeleka sheli mpaka ukome.

Sio kweli hebu google vvti upate ilmu
Watch out!!!!!!!
kwani biashara si maelewano? unaweza hata kuuza nchi kubwa kama tanzania pamoja na raia wake kwa 50000usd

huyo anataka gari kubwa fedha ndogo!
Poa sana kaka. Ila kwa kuwa ni vvti, hapo ni noma kwangu. gari zenye vvti ni noma kwa mafuta na hizi foleni za dar, naogopa kutumia cylinder sita kwenye wese kwa mwendo wa km 20 kwa saa. Kaka waambie watu ukweli kuhusu fuel consuption system ya hii gari ili wakinunua wawe na ufahamu kamili wa aina hii ya magari.
Kwa wadau wengine, kifupi ni kwamba haya magari ya vvt-i yanapokuwa kwenye spidi chini ya nadhani 120,000 km/kwa saa, huwa yanakula sana mafuta kwani cylinder zote sita huwa zinafanya kazi, na yanapokuwa kwenye mwendo kasi zaidi ya hapo ndipo yanapotumia mafuta kidogo kwa kuwa ndani ya mwendo huo, ni cylinder nne tu zinazokuwa kazini. Kifupi ni kwamba kwa masafa mafupi, hii gari utaichukia sana, kwani itakupeleka sheli mpaka ukome.
Watch out!!!!!!!
Hilo li six cilinder kwa hiyo bei unadhani utampata nani na hii foleni na huu mgao wa mafuta labda 6m kidogo utampata mtu

Chevlolet station wagon v8,nimeinunua kutoka ughaibuni na nikaitumia kama mwaka na nusu na nikaja nayo hapa Tz na ndiyo naitumia lakini kwa safari za mbali peke yake sio kwa safari za hapa mjini.Mkuu ulishawahi kumiliki gari?
Hilo li six cilinder kwa hiyo bei unadhani utampata nani na hii foleni na huu mgao wa mafuta labda 6m kidogo utampata mtu
Nina 10M. ukitaka hata leo
120,000 KM/HR huo labda ni ungo wa wachawi
Nina GX 100 ya 2000 lete 9.0m tshs hata sasa hiviNina 10M. ukitaka hata leo