Toyota mark ii gr 4 sale

kiswago

Member
Nov 16, 2010
37
4
nauza toyota mark II bei 3.5mil,iko ktk hali nzuri,
ni automatic,4cylinder,nyeupe.
kwa anaehitaji email me through kiswagokiswago@yahoo.com
najuwa wengi wanaponda magari kwa bei rahisi humu jamvini,reasons i have another car,siwezi avoid kuwa na magari ma2
 
from kiswago

jamani kila nnapojaribu kuweka picha hazikubali,ama sijui?msaada jamani:help:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom