monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,486
- 13,017
Hizi ni gari nzuri za kazi, yaani kokote inapita hata kama barabara ni mbovu kiasi gani still inapita na ni ngumu mno. Kwa sisi ambao tunaenda nazo site za porini ndo tunazielewa mpaka basi.Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.
Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Alafu watu wenye MAkampuni ya mabasi na MA truck ndio wanayanunua. Ukiwa nalo ili bosi ukisikia Gari imeuwa clutch, difu, gear box au tairi zimebust wami au kitonga.... Unafunga mzigo wako na Vijana WA kazi hata saa nane usiku unaamsha kuwai eneo la tukio... Chombo kikiwa na mzigo hapo nyuma kinatulia Sana. Alafu dharau ni pale mtu ana pick up anatumia kiyoyozi alafu mwenye vx anatirirka jasho kwenye folen za darNilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.
Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Sema hizi kitu zimeachwa kutengenezwa. Ndiyo maana watu wameamia kwenye cruiser.zipo nyingi tu mkuuView attachment 991209
Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.
Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Kwahiyo mkuu wewe na mkeo mtakaa mbele wanao watakaa kwenye bodi
Gari la kazi kazi kwa watu wa kazi!Kwahiyo mkuu wewe na mkeo mtakaa mbele wanao watakaa kwenye bodi
Hizo mashine za kazi, ukiwa kama mkandarasi kampuni yako haina hizo gari basi ujue haupo serious. Nashangaa mkandarasi kutumia gari ya kibishoo kama Amarok au WildtrakUkiwa arusha wenye land rover wote sisi ni kama ndugu popote mnapokutana lazima msalimiane. Alafu ni marufuku kumpita mwenzako kama amearibikiwa lazima usimame na umjulie hali ndio uendelee na safari. Tools box must iwepo kwenye gariView attachment 991221View attachment 991223View attachment 991226
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari hizo zipo kwa ajili ya kazi. Watu wa migodini na eakandarasi wengi wanazipenda. Gari ya kwenda nayo kuzimu na ikarudi salama. Shida ya londo lova ukienda nayo kuzimu ukirudi lazma ufikie gereji ndio kisa hata cha serikali kuwatosa.
Hyo land cruiser nmeitumia sana pori
Kuna mzee mmja moro mtu wa migodi alikuwa nayo nlikuwa namuazima
Unaona hpo naitafuta mgeta.....wanakijiji wanaishangaaa nyuma tuko full Max nondo.
Mwenye Gari alikujaga iuzaa mpaka leo hajaipata
Ova
View attachment 991155
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri Wa hizi gari unatumia mpaka unakufa na Mjukuu anatumia mpaka analiacha kama mkizingatia serviceAchana na hii kitu mzee... View attachment 991147
Hizo mashine za kazi, ukiwa kama mkandarasi kampuni yako haina hizo gari basi ujue haupo serious. Nashangaa mkandarasi kutumia gari ya kibishoo kama Amarok au Wildtrak
Hili ndiyo gari la kiafrika kwa wanume wa afrika.Achana na hii kitu mzee... View attachment 991147
Kuna toleo jipya TD5 nadhan hajaweka pichaHii mbona imekaa kizamani , hamna Toleo jipya aina hii?
Zinatengenezwa sema kwa order maalumSema hizi kitu zimeachwa kutengenezwa. Ndiyo maana watu wameamia kwenye cruiser.
Yeah hio gari ipo kwa Dingi mkubwa sema ni hard top version. Imemzika Bibi, ikamzika Maza, Ikamzika Sista mpaka leo bado ipo inadunda tu. Ni Toleo la 80's sasa you can imagine toka enzi za TX mpaka leo hii imesajiliwaga AKP. Inapiga kazi inamwagwa oil na kuwekwa tairi mpya na rangi tu. It holds a lot of memories.Uzuri Wa hizi gari unatumia mpaka unakufa na Mjukuu anatumia mpaka analiacha kama mkizingatia service
Watu wanaangalia mwendo cruiser hizo mashine 2 hazifati barabarani