Toyota Landcruiser Inauzwa

Kingmairo

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
4,948
2,000
Dah ipo njema, milage zipo sawa, bei nayo si mbaya! Kama haina tatizo it's a good deal kama mavumba yapo.
 

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,690
2,000
Ni nzuri kwa muonekano wa board, ila haijagongwa wala kufanyiwa overhaul engine?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom