Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Model ya 1996, ina injini ya 1HZ. Ipo katika hali nzuri. Inapatikana Dar es Salaam, city centre. Bei 15 mil. Maelewano yapo. Karibu. kwa maelezo zaudi piga simu no 0717114409 au 0755312233.
Huku umefuata nn ww? Waguna nn sasa!duh!
Hiyo gari imewahi kupata ajali? Huu upande wa kushoto haujatulia! naona hata bonet halifungi vizuri.