Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

donbeny

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,582
2,000
Hiyo ndio Land Cruiser ya ukweli na Engine yake ya 1HZ hatari sanaaa ngumu sana kuharibika
 

munisijo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
1,077
2,000
Ni sawa na masikini kusifia kuni na mkaa kuwa vinaivisha vizuri sana chakula ... lol

Wanakuwa wapo sahihi
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,775
2,000
Hii gari mjapani alicheza kivyake.. Mwanzo aliyumba alipoinyima lock-diff ila alipokuja kuipa lock-diff ndo ulikua mwisho wa kusema Landrover ndo gari ya tope na haikwami. kwa sasa kila chaka watu wanapiga chini TDi wanahamia kwny L/C kwa sababu ya upatikanaji wa spare na hata bei za spare zake sio mkasi tofauti na hizi LR. Kuna B number ya mwanzo kabisa ila ikiwaka ukiskia saut n kama macho panzi DQZ izi gari zingatia tu service utaendesha adi ufe hujawai shusha gear box wala fungua engine.
Gari za urithi hizi, unaendesha unaliacha homeboy wako nae anaendeleza gurudumu analiendesha tu lipo moja la Mshua serikali walilinunua 1990 jipya akaja akalinunua 2000 toka serikalini kwenye minada yao!

Mpaka sahizi lipo tu anadunda nalo ukipiga hesabu ni almost 40 years toka litoke kiwandani! Lilitumika kumpeleka bibi hospitali na msibani kijijini 1992! Likaja kutumika kwenye msiba wa maza 2001!

Limebeba history sana hilo gari mzee hawezi liuza!
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,775
2,000
kibongo bongo gari yenye speed kubwa ipi au landcruiser v8
Yeah V8 single turbo engine ikiwa kwenye body ya hio 70 series inapiga 200km/hr with ease!

V8 twin turbo engine ikiwa kwenye 200 series inapiga 260km/hr! So far yale ma Vx V8 ndio yana speed kubwa katika gari za Toyota zote zinazokuja bongo! Gari chache ambazo zinatokea soko la marekani ndio zina speed ya 260 Km/hr!
 

Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
5,447
2,000
Yeah V8 single turbo engine ikiwa kwenye body ya hio 70 series inapiga 200km/hr with ease!

V8 twin turbo engine ikiwa kwenye 200 series inapiga 260km/hr! So far yale ma Vx V8 ndio yana speed kubwa katika gari za Toyota zote zinazokuja bongo! Gari chache ambazo zinatokea soko la marekani ndio zina speed ya 260 Km/hr!
tusubiri Lamborghini zikija bongo
 

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
6,933
2,000
Huyo rafiki yako ni bumunda kweli!

Unauzaje usafiri kama huo?

Hizo gari haziwahi hata kushuka bei!

Alafu waasi wengi wanazipenda sana sababu ya nguvu.

Injini yake ni 4.0L
Mkuu, hebu toa elimu kidogo kuhusu hiyo namba yako ya mwisho, yaani ENgine ni 4.0 L ndio nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom